Mwanajeshi amkata vipande vipande mkewe

Mwanajeshi amkata vipande vipande mkewe

Shuhuda amesema jamaa alikubari kumpatia nyumba, pia anakatwa kazini 200000/= kwa mwezi na bado bibie alikuwa anachukua kodi ya nyumba, lakini shuhuda akaenda mbali kwa kusema maneno yasiofaa mtaani mfano "nitamkomesha nk" ukiangalia kilichotokea na saikolojia na jamaa inaonyesha moja kwa moja jamaa kakosewa ndio maana alivyoua alikuwa na ujasiri wa kusema nimeua na polisi alienda mpaka kwa balozi alifika na kurudi mwenyewe tena polisi, sio hasira ila alidhamiria baada ya kukerwa..
Sio shuhuda ndugu rudia kusoma...ni ndugu wa mtuhumiwa...go figure
 
Nimeshtuka pia lakini inawezekana ndie mkuu wa kituo. Hii nchi ina mambo wewe.
Nami nimeshangaa sana aiseeee police yaan mtu anajisalimisha alafu anadaiwa akachukue barua ya mjumbe kuthibitisha?. Kwanini police wasiend kujiridhisha.
 
Duuuu! What a pity! Civillians muwe submissive mkiolewa na kakazetu akili zao tunazijua wenyewe!
Rest in piece mamy! Hope sheria itachukua mkondo wake!
 
Duuuu! What a pity! Civillians muwe submissive mkiolewa na kakazetu akili zao tunazijua wenyewe!
Rest in piece mamy! Hope sheria itachukua mkondo wake!
Kwani Akili zetu zikoje labda!? Naomba msaada kujua dada.
 
Wakurya ukiwakorofisha ni watu hatari sana, kabla sijasoma jina la askari huyo tayari nilikuwa na uhakika kwamba ni mkurya.
Mnapenda kutuonea sana sisi WAKURYA Aisee. Hii inaweza kumtokea mwanaume yoyote. Kuishi na hawa mama zetu kunahitaji uvumilivu na ustaarabu wa hali ya juu. Yule jamaa aliyemuua mama yake UFOO SARO alikuwa Mkurya !?? Na Yule aliyeua pale Ilala muuza magari kutoka mwanza alikuwa Mkurya !!???? Huwa nawaambia watu kila siku WAKURYA sisi ni watu poa sana Ila hatupendi figisu na mtu. Na mara nyingi huwa hatupigi mikwara ni kazi tu.
 
Haya mambo nimazito
Na kama hujakutwa unaweza mlaumu jamaa

Mkuu ni kweli kwa namna moja au nyingine tunaweza kumlaumu jamaa kwa kitendo alichokifanya. Lakini wanawake hawa ni shida, ni mama zetu, lakini wana matatizo sana, hata ukisoma hii habari utaona huyo mwanamke alikuwa ni tatizo!
 
kwa akili ya haraka haraka unaweza kumulaumu mwanaume lakini inaonekana mwanamke amechangia kwa kiasi kikubwa hayo yatokee binadamu mwenye akili timamu hawezi akaua halafu akaenda kujisalimisha polisi kisha akaendelea na shuguri zake ukiisoma habari yote unaona mke alivyokuwa akijitapa kumkomoa jamaa ila ndugu nao ni wa kulaumiwa kwa sababu walishajua undani wa hao watu walitakiwa ama wawatenganishe hadi suluhu ya mahakama ipatikane
 
Mkuu,
Hawa mama zetu baadhi yao ni tatizo katika jamii. Huyo mtuhumiwa alikuwa anakatwa mshahara Tsh 200,000/= kila mwezi inaenda kwa mama, bado mama alikuwa anachukua Kodi ya nyumba yote. Jamaa alikubali kumuachia hiyo nyumba pia. Kutokana na ushuhuda wa mashahidi unaambiwa Huyo mama alikuwa mbioni kuiuza hiyo nyumba punde tu zoezi la makabidhiano Hati lingekamilika. Sasa jiulize ni wanaume wangapi wana kifua ya kuyameza hayo yote!?
 
Pesa yenyewe unakuta umeipata kwa shida tena kwa kudunduliza mpaka umejenga mwanamke akiwa ameenyoosha miguu nje halafu atambe kuuza nyumba yako, na sijui kama huyo mwanamke anajua shida anayoipitia mume mpaka kuwa askari changamoto za kazini.
 
huyo naye ni mwanamke wa kimachame aloua maana hao viumbe wanavyoandamwa mmhh
 
Jamaa kavumilia mdomo wa mwanamke kaona isiwe issue kamaliza mchezo. Safi Sana'a uzuri alijuwa anachotaka kufanya hivyo death penalty or life sentence kwake si tatizo.
 
Nyie wanawake ni tatizo kubwa sana ktk haya maisha, marehemu aliandaa mauti yake mwenyewe, mshahara wa dhambi ni mauti, alikuwa na lengo la kumchuna mumewe kifo kimemchuna yeye.
Wewe kijana uwe na nidhamu Mimi ni mwanaume probably baba yako.
 
Back
Top Bottom