Mwanajeshi amkata vipande vipande mkewe

Mwanajeshi amkata vipande vipande mkewe

sijaelewa hivi hii habari inasema huyu jamaa alipojisalimisha aliwekwa lockup maana naona alijisalimisha halafu akarudi nyumbani kisha akatoka tena saa kumi na mbili asubuhi there is something fishy here
Polisi walikuwa hawaamini wakamwambia akalete barua ya mjumbe a very lousy policing.
 
Polisi walikuwa hawaamini wakamwambia akalete barua ya mjumbe a very lousy policing.
yaani nashangaa pale aliposema tu wangemuweka under arrest waende naye ujue muda mwingine mpaka mtu anaua anakuwa na kichaa cha muda anaweza hata kuleta madhara mengine atii
 
Alienda kituoni kuchukua PF 3 alafu akaondoka zake hii ndio bongo chochote chawezekana.
 
cha ajabu mtu kaenda kituoni kasema 'nimeua' ETI askari wakamwambia aende akalete barua ya mjumbe!!! hii mie sielewi kabisa!
 
Wanajeshi wasaidiwe kisaikolojia,wanafanya kazi kubwa ya kulinda amani,wanapokua huko kwenye mission mbalimbali huwa wanafanya zaido ya hayo!Hivyo wakiwa uraiani yakiwakuta magumu huwa utekelezaji ndo kama yaliyomkuta huyo mfunga buti.
 
Tatizo wakurya hatuna talaka ukioa ndo basi tena,
Ila polisi wa nchi hii pimbi kabisa wanamrudisha mtu afuate barua kwa mwenyekiti wa mtaa wakati amesema ameua.

Itakuwa waliogopa kuwa anaweza kuwageukia na hivyo kusema aende achukue barua angalau kupambazuke. Na ukute alipoondoka walifunga kituo au kukimbia kabisa.
 
Very sad story. Haya maisha Mungu aingilie kati maana ni balaa tupu.
Nyie wanawake ni tatizo kubwa sana ktk haya maisha, marehemu aliandaa mauti yake mwenyewe, mshahara wa dhambi ni mauti, alikuwa na lengo la kumchuna mumewe kifo kimemchuna yeye.
 
Itakuwa waliogopa kuwa anaweza kuwageukia na hivyo kusema aende achukue barua angalau kupambazuke. Na ukute alipoondoka walifunga kituo au kukimbia kabisa.
Yaani mtu kasema ameua, mnamruhusu aende eti akachukue sijui fomu kwa mjumbe??!!! Usikute hata kumsindikiza hawakumsindikiza!!!!😡
 
Wanajeshi wasaidiwe kisaikolojia,wanafanya kazi kubwa ya kulinda amani,wanapokua huko kwenye mission mbalimbali huwa wanafanya zaido ya hayo!Hivyo wakiwa uraiani yakiwakuta magumu huwa utekelezaji ndo kama yaliyomkuta huyo mfunga buti.
sasa mbona amani ya nyumbani kwakwe kashindwa kuilinda? khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
sijaelewa hivi hii habari inasema huyu jamaa alipojisalimisha aliwekwa lockup maana naona alijisalimisha halafu akarudi nyumbani kisha akatoka tena saa kumi na mbili asubuhi there is something fishy here
Wanasema alipojisalimisha polisi hawakuamini kwa kuwa aliongea kirahisi sana kuwa kaua ndii wakamwambia aje na barua ya mjumbe kuthibitisha ameua...kha only in Tanzania mhalifu anaruhusiwa aende kwa mjumbe kuhakiki kosa halafu arudi kujisalimisha tena kwa kesi ya kuua
 
cha ajabu mtu kaenda kituoni kasema 'nimeua' ETI askari wakamwambia aende akalete barua ya mjumbe!!! hii mie sielewi kabisa!
hii nji hii ina mambo ya ajabu sana
wakisikia mfanyabiashara ana mahela wangemkimbiza sana lakini huyu kauwa wanamchukulia poa tu
 
Wanasema alipojisalimisha polisi hawakuamini kwa kuwa aliongea kirahisi sana kuwa kaua ndii wakamwambia aje na barua ya mjumbe kuthibitisha ameua...kha only in Tanzania mhalifu anaruhusiwa aende kwa mjumbe kuhakiki kosa halafu arudi kujisalimisha tena kwa kesi ya kuua
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa sasa kazi yao nini hapo wangemweka chini ya ulinzi
 
mmh jamaa anaroho ngumu mno.. unaua halafu unaenda kujishtaki......... pole tu wafiwa
 
Kuripoti kuuwa halafu anarudishwa kupata barua ya mjumbe? Kajisalimisha mwenyewe mikononi mwa polisi kwanini hawakwenda kushuhudia tukio kwanza? Na ndio kumwuita mjumbe? Hii kama ni sheria ingebadilishwa tu it doesn't make sense
 
Back
Top Bottom