Mwanajeshi akutwa amekufa

Mwanajeshi akutwa amekufa

The Don

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,499
Reaction score
1,175
Anajulikana kwa jina kama patrick lasway almaarufu kama bepari(20) toka j.k.t-ruvu,alitoka tangu jumamosi alipoomba ruhusa ya kwenda nje ya kambi hakurudi mpaka leo mwili wake ulipopatikana jirani na kambi ukiwa umeshaanza kuharibika kwa kuoza,ni ndugu yangu wa damu na siku hiyo niliongea nae hadi leo ndo nimepewa taarifa za kifo chake,alikua ni form four leaver aliyehitimu mwaka juzi makiidi-rombo na kuamua kujiendeleza,alikua akisubiri intake ya jwtz,haijajulikana chanzo cha kifo chake,mungu amlaze mahala pema peponi amina.
 
kaka pole.. ila heading hukuitendea haki kaka. tena mdogo ako unaita tu 'mwanajeshi' as if unazungumzia stori ya mwngne!
 
Poleni sana....lakini huki ni love connect...nimesoma usingiz wote umekata
 
Anajulikana kwa jina kama patrick lasway almaarufu kama bepari(20) toka j.k.t-ruvu,alitoka tangu jumamosi alipoomba ruhusa ya kwenda nje ya kambi hakurudi mpaka leo mwili wake ulipopatikana jirani na kambi ukiwa umeshaanza kuharibika kwa kuoza,ni ndugu yangu wa damu na siku hiyo niliongea nae hadi leo ndo nimepewa taarifa za kifo chake,alikua ni form four leaver aliyehitimu mwaka juzi makiidi-rombo na kuamua kujiendeleza,alikua akisubiri intake ya jwtz,haijajulikana chanzo cha kifo chake,mungu amlaze mahala pema peponi amina.[/QUOTE}

Gaspery & Family,

Just like everyone else here at JF, I am deeply saddened to learn about the death of your brother Patrick. Your loss of your brother at such a youthful age is certainly in the category of those hard losses for which there is so much painful memory. This must be very difficult for you and the rest of Lasway family members. Please remember you are in my thoughts and prayers during this difficult time.

May God bless you and your family during this time and always.

Tuko pamoja bro!

RIP - Patrick





 
pole sana ila la kulazwa mahali pema peponi hilo halipo, BIBLIA kitabucha mhubiri inasema binadamu hana la kumpita mnyama linalotukia kwa mnyama ndilolinalotukia kwa binadam, ninanianajua roho ya binadam inakwenda ka MNGU nayamnyama inakwenda wapi?.
 
R.I.P Patrick,pole sana kwa msiba wa ndugu yetu,bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
pole sana ila la kulazwa mahali pema peponi hilo halipo, BIBLIA kitabucha mhubiri inasema binadamu hana la kumpita mnyama linalotukia kwa mnyama ndilolinalotukia kwa binadam, ninanianajua roho ya binadam inakwenda ka MNGU nayamnyama inakwenda wapi?.

Kwani wanyama wengine mbali na human being, wana roho...? Wanaweza kunena kwa lugha....? Wanaweza kukemea pepo. Amin, Amin nawaambieni, mtu akiokoka anakuwa kiumbe kipya, mtu ambaye hajaokoka kiroho hana tofauti na mnyama (mammal) mwingine kama ng'ombe, mbwa, nguruwe, simba, paka, n.k.
Mwamini Yesu nawe utaokoka.
 
Duu! pole sana.

Sasa wakiangalia last call wewe si utapata ajira (kuisaidia) polisi?
 
pole sana mkuu, mungu akutie nguvu na uvumilivu during this time of a loss
RIP him
 
Pole sana mkuu. Nafuatilia hlo tukio maana limetokea ndan ya eneo langu la kazi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom