Mwanajeshi akutwa amekufa

Mwanajeshi akutwa amekufa

Pole sana muu..Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..Aame.
 
Anajulikana kwa jina kama patrick lasway almaarufu kama bepari(20) toka j.k.t-ruvu,alitoka tangu jumamosi alipoomba ruhusa ya kwenda nje ya kambi hakurudi mpaka leo mwili wake ulipopatikana jirani na kambi ukiwa umeshaanza kuharibika kwa kuoza,ni ndugu yangu wa damu na siku hiyo niliongea nae hadi leo ndo nimepewa taarifa za kifo chake,alikua ni form four leaver aliyehitimu mwaka juzi makiidi-rombo na kuamua kujiendeleza,alikua akisubiri intake ya jwtz,haijajulikana chanzo cha kifo chake,mungu amlaze mahala pema peponi amina.
Pole sana; wenzake watulie sheria ichukue mkondo maana siku hizi wanajeshi wana mtindo wa kwenda mtaani na kuwadunda watu ovyo.
 
Asanteni sana jamani,tuko pamoja
 
I am very sorry for your loss. Mungu akutie nguvu
 
anajulikana kwa jina kama patrick lasway almaarufu kama bepari(20) toka j.k.t-ruvu,alitoka tangu jumamosi alipoomba ruhusa ya kwenda nje ya kambi hakurudi mpaka leo mwili wake ulipopatikana jirani na kambi ukiwa umeshaanza kuharibika kwa kuoza,ni ndugu yangu wa damu na siku hiyo niliongea nae hadi leo ndo nimepewa taarifa za kifo chake,alikua ni form four leaver aliyehitimu mwaka juzi makiidi-rombo na kuamua kujiendeleza,alikua akisubiri intake ya jwtz,haijajulikana chanzo cha kifo chake,mungu amlaze mahala pema peponi amina.


pole mtanzania mwenzangu
 
Shukrani sana wakuu,tumeshampumzisha katika makazi yake ya milele maeneo ya mlandizi karibu na kambini,mungu ampumzishe kwa amani ma young brother
 
Cha muhimu ilibidi niangalie ni wapi(ILA SIO MAENEO YANGU YA KUJIDAI) maana jamaa lazima watarudi kulipiza kisasi
 
Pole sana mkuu. Nafuatilia hlo tukio maana limetokea ndan ya eneo langu la kazi..

Pole sana Gasper na rest in peace Patrick. Mkuu Nikas Mtei, tupatie update ya huu msiba. So sad
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom