MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
Mbu me too bana nimemiss sana huyu mtu mpaka nikajikuta namwambia baba mkwe msalimie MJ1 ,
Ah Mbu aksante kwa kunimiss but wajamenio si mnajua kuwa Bunge limeanza?? Mie mbunge wa nyumbani kwangu ati.............
Mkoloni kanikamata pabaya wajameni hata mie nimewamiss sana sana
Ben ndo nini uwashwe pale ukiona mwenzio kajikuna??
Teamo pole kwa kulea
RR .............unataka kufungua interchick ya German Sherpherd??
Mkuu Mbu,
Tuheshimiane,nitaanza bifu na wewe sasa....lol
Ndo tumemaliza honeymoon tu,unataka kuzingua
Ah Mbu aksante kwa kunimiss but wajamenio si mnajua kuwa Bunge limeanza?? Mie mbunge wa nyumbani kwangu ati.............
Mkoloni kanikamata pabaya wajameni hata mie nimewamiss sana sana
Ben ndo nini uwashwe pale ukiona mwenzio kajikuna??
Teamo pole kwa kulea
RR .............unataka kufungua interchick ya German Sherpherd??
...Deeply missed, pliz rudi nyumbani... :disapointed:
...ha ha ha, basi bana..."narudisha shilingi!"
...ehhh? Pole mama, basi waambie nasisi huku tunakuhitaji bana!
Angalau umepata wasaa japo wa kutujibu. We were so worried hapa jamvini.
Next, ...Nyamayao, Carmen, Bht, Penny et al...
tunaendelea kuitisha Roll-Call kwa wote waliopotea, robo ya kwanza ya mwaka Ishaisha.
I mic her too Mj1
MR nimekumiss......
Hivi kuna mdada mmoja ivi nimemkumbuka sana...