Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,593
- 6,934
Write your reply...Uzuri wa mtoa mada hajataja dini ...by the way kondoo waliopotea povu ruksa
Cha ajabu ndugu ze2 washaingiza udini.
Write your reply...Uzuri wa mtoa mada hajataja dini ...by the way kondoo waliopotea povu ruksa
HUYO LOFA NDO ATAKUWA MIAKA 30 IJAYO AMETOWEKA SIO TAIFA LA ISRAEL...WALISHAFANYA WENGI AMA KUSEMA MENGI TOKA KIPINDI CHA HITLER KUWA ISRAEL IFUTIKE LAKINI WAPI NA WAPI!
The only way unaweza kuitowesha israel. Kwanza ipoteze america ,UK nzima, germany,france,canada.Nawewe kwanini unachuki sana kwa waarabu na uislamu kwa ujumla?
Acha watoweke tu pumbafu zao. Mnajipendekeza wakat hawamkubali yesu na hata ukristo pia hawautambui. Jitathmini upya baba
Hawakubali kwasababu wanasema lile ni Taifa teule.Wakristo wanaojipendekeza kwa Wayahudi hawakubaliani na utafiti huo
utasubiri sana na ukicheza ww utakuwa umetekea hata kabla ya 2020 sio israel..taifa hili walianza kusema haya usemayo miaka 5000 ilopita
Wakati nyie mnajipendekeza wao wanawaona kama mbwa koko
The only way unaweza kuitowesha israel. Kwanza ipoteze america ,UK nzima, germany,france,canada.
Ukiwafuta hao kwenye uso wa dunia. Hakuna mahali israel atakuwa na pa kukimbilia.
Ila kama hizo nchi zitaendelea kuwepo. Na israel itaendelea kuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
tunajipendekeza kwa sababu tunajua ahadi za Mungu kwa taifa la Israel
Tatizo Waafrika wakiristo wanajiona na wao ni kama mayahudi su tusema wanawaabudu wayahudi kama watu wa mungu na niwatakatifu Sanaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali usinilishe maneno. Hakuna mahali nimeandika kuwa ni taifa haram.Kwaiyo mmekubali kuwa taifa haramu c chochote bila hao bwana zake!! Safi sana
Si ndio maana nakuambia pata shughuli ya kufanya uondoe muda wa kujaza povu namna hiyoAcha unguruwe basi huyo akiyesema hayo ni mwarab?ni mwafrika?ni mhind?bali ni mzayuni mwenzao ukweli haupingiki nguruwe wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nguruwe ni kitoweo kitamu sana! Alafu kwa mfano mimi na shahada zangu za uzamivu kutoka chuo cha dodoma nikiandika bandiko katika gazeti lolote kuwa magufuli hatoweza kujenga mradi wa umeme huko anapotaka kujenga kwa sababu anapingwa na mabeberu ndivyo itakavyokuwa?Acha unguruwe basi huyo akiyesema hayo ni mwarab?ni mwafrika?ni mhind?bali ni mzayuni mwenzao ukweli haupingiki nguruwe wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafadhali usinilishe maneno. Hakuna mahali nimeandika kuwa ni taifa haram.
Nimetos ushaur tu kuwa kama mnataka kuimaliza israel.. hayo ndio yafanyike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nguruwe ni kitoweo kitamu sana! Alafu kwa mfano mimi na shahada zangu za uzamivu kutoka chuo cha dodoma nikiandika bandiko katika gazeti lolote kuwa magufuli hatoweza kujenga mradi wa umeme huko anapotaka kujenga kwa sababu anapingwa na mabeberu ndivyo itakavyokuwa?
Nimesema hivi👇Mpaka ujioneshe kuwa umesoma! Ucpojitangaza kuna nini mukuu!
mfano mimi na shahada zangu za uzamivu kutoka chuo cha dodoma
Nimesema hivi👇