Mwanahistoria mzayuni:Hadi miaka 30 ijayo Israel itakua imeshatoweka

Kuifuta israel haitowezekana kama matifa yanayo msupport yatazidi kwepo.
Akina us,canada, france,UK, NA nchi za muungano wa NATO.
Mkiwamaliza hawa.. israel hana nguvu. Ila wakiendelea kuwepo.. na israel itaendelea kuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Huo ni ujinga umekaririshwa kuwa kuna Taifa lipo kwa sababu linalindwa ma mataifa mengine??huo ni upuuzi wa kuaminiwa na wapuuzi wenzao!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mbona hujamtaja Urusi hivi unajua wasisi wa USSR wenza wa Lenin walikuwa wayahudi? na matajiri wakubwa Urusi ikiwemo Bilionea wa Chelsea ana uraia pacha na wa Israel........

Usipoteze Muda wako hata kuhasisiwa kwa taifa ilo 1940s walipambana wao bila msaada wa taifa lolote la unayoyataja na waarabu wote na bado wakatandikwa

Ndio mukuu, mataifa ya ulaya ndo yanamlinda,bila kumsahau bwana ake/usa.
 
mbona hujamtaja Urusi hivi unajua wasisi wa USSR wenza wa Lenin walikuwa wayahudi? na matajiri wakubwa Urusi ikiwemo Bilionea wa Chelsea ana uraia pacha na wa Israel........

Usipoteze Muda wako hata kuhasisiwa kwa taifa ilo 1940s walipambana wao bila msaada wa taifa lolote la unayoyataja na waarabu wote na bado wakatandikwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Acha kutulisha matango pori, israel alisaidiwa na mataifa ya ulaya baada ya kuzidiwa. Sometimes muwe wakweli na co kupotosha wa2.
 
Kasome vizuri Historia acha kulishwa matango ya madrassa
Zaidi ya Mataifa kuyapigia makubwa kumpigia VETO ya kuhasisiwa pale akiwemo Soviet nani alietoa msaada pale zaidi wengi wapiganaji walikuwa partisan wa vita ya pili ya dunia nchini Ulaya na walijua Guerilla war zipo vipi na kutumia mazingira kupambana

na Mungu aliwasiaidia kupambana na mataifa matano mchezo maana kipigo kile waarab hawawezi sahau abadan
Acha kutulisha matango pori, israel alisaidiwa na mataifa ya ulaya baada ya kuzidiwa. Sometimes muwe wakweli na co kupotosha wa2.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo ni ujinga umekaririshwa kuwa kuna Taifa lipo kwa sababu linalindwa ma mataifa mengine??huo ni upuuzi wa kuaminiwa na wapuuzi wenzao!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaha eti nimekaririshwa. From suez crisis, six days war... na zinazoendelea.
Sisem kuwa israel inawategemea.. ila hizo nchi ni washirika wake wakubwa.
Wamekuwa involved kwenye baadhi ya vita. Mfano ndege walizotumia israel zilitoka ufaransa.
Wakazifanyia modification wakaziita majina yao. Mfano. Dasault mirrage 5. Ilifanyiwa modification zikazaliwa IAI nesher , IAI kfir.

Ziliwasaidia sana kushinda vita against egypt wakat huo

Hata mbaazi ikikauka huzingizia jua wenye vichwa vya panzi kama wewe ndiyo wanaamini hivyo tena kwa kukaririshwa.Hakuna taifa duniani linaloishi kwa kutegemea ulinzi wa taifa jingine ni mabwege tu kama nyinyi ndiyo mnaamini ujinga huo!!Lakini mtasibiri sanaaa!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kwani vifaa na siraha waarabu walizotumia walizitengeneza wao???
Hahaha eti nimekaririshwa. From suez crisis, six days war... na zinazoendelea.
Sisem kuwa israel inawategemea.. ila hizo nchi ni washirika wake wakubwa.
Wamekuwa involved kwenye baadhi ya vita. Mfano ndege walizotumia israel zilitoka ufaransa.
Wakazifanyia modification wakaziita majina yao. Mfano. Dasault mirrage 5. Ilifanyiwa modification zikazaliwa IAI nesher , IAI kfir.

Ziliwasaidia sana kushinda vita against egypt wakat huo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakristo wanaojipendekeza kwa Wayahudi hawakubaliani na utafiti huo
Kwanini aseme Binadamu kama ww tu uamini?

Kumbe ndiyomaana Shehe Yahaya aliwateka akili zenu kwa kuwaingiza chaka kuwa tarehe flani itakuwa mwisho wa dunia, hatimaye alikufa yeye mwenyewe lkn bado Watu tunadunda na uhai kwa neema yake Mungu pekee.

NB:

"Mwenye hakima huchunguza kila anachoambiwa ndipo huamini bali Mpumbavu huamini kila kitu" si maneno yangu mimi bali ni ya Nabii Suleiman.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa akili zenu ndogo baada ya hiyo miaka 30 hao wanaomlinda watakuwa wamekufa???

Sent from my iPhone using JamiiForums
Hata ujambe ufe na uoze ukweli ni mchungu sikuzote. "zionist regime" (axis of devil) haitakuwepo miaka 30 ijayo maneno yako ya kifalafala hayatosaidia chochote ni sawa na kuziba jua na ungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata ujambe ufe na uoze ukweli ni mchungu sikuzote. "zionist regime" (axis of devil) haitakuwepo miaka 30 ijayo maneno yako ya kifalafala hayatosaidia chochote ni sawa na kuziba jua na ungo

Sent using Jamii Forums mobile app

Mbulula kama wewe ndiyo wanaamini na kusubiria hiyo miaka 30.Na mtasubiri sana!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom