Mwanahistoria mzayuni:Hadi miaka 30 ijayo Israel itakua imeshatoweka

Huyo mtafiti atasubiri sana bila shaka itakuwa kinyume chake,
wataisha hao waarabu halafu Israel itakuwa ya mwisho,
aache kuota ndoto za mchana ukiwa na njaa ndoto zake mbaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaha umejikojolea usiku huu bila shaka๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒyaani huyo mtafiti mzayuni mbobezi unafikiri katamka tu kakurupuka?halafu hawa si ndo mnawaitaga kizazi teule?kubwa akilizii?iweje unampinga hujui ukienda kinyume na taifa teule au hao wana teule kwa imani yako utalaaniwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚halafu makubwa utafiti afanye mzayuni kupinga apinge mwafrika wa huko iramba teh teh ๐Ÿฑ๐Ÿฑ๐Ÿฑ๐Ÿฑ๐Ÿฑ๐Ÿฑ๐Ÿฑ
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Endelea kuamini ushuzi wa waarabu,Wao wameshindwa kufurukuta kwa lolote Israel ipo tu sembuse wewe Mmatumbi utasubiri sana na Israel haitatoweka milele.Ni wakati wako sasa kuwaambia Mabwana zako Waarabu kuwa Israel sasa kumenoga wakileta za kuleta itabidi wapewe tiketi ya moja kwa moja kukabidhiwa wale mabikira 72 walioahidiwa na mkubwa wao huko ahera!!!.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo ni ndoto tu ktk nadharia. Kwa mujibu wa unabii, Israel ipo hapo mpaka mwisho wa dahari labda kama mtu anatumia kitabu kingine kisicho cha kinabii make vitabu viko vingi tu.

Hakuna cha ardhi ya wapalestina hiyo ardhi ni ya waisrael toka enzi na enzi na walipewa na Mungu kwa mujibu wa biblia. Na hata akina Ibrahim, Isaka, Yakobo, Yusufu, Daudi nk, woote walizikwa kwenye ardhi hiyo hiyo. Sasa leo hii mtu atasemaje eti ardhi ni yake. Pure Lunacy.

Hao wapalestina, ambao ndio akina Goliath, walikuwa wakiishi Gaza toka zama hizo huku wakiabudu miungu na ndio maana Mungu aliwalaani, hawawezi wakatwaa ardhi isiyo yao. That will never ever materialise.
 
Taifa lipo kwenye unabii.Mungu amewaambia mkiishika torat yangu mtastawi daima,ila mkikengeuka tu cha moto mtakiona.Hao waarabu ni fimbo ya MUNGU kwa waisrael wanapoasi.Soma kumbukumbu la torat sura yote ya 28.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taifa lipo kwenye unabii.Mungu amewaambia mkiishika torat yangu mtastawi daima,ila mkikengeuka tu cha moto mtakiona.Hao waarabu ni fimbo ya MUNGU kwa waisrael wanapoasi.Soma kumbukumbu la torat sura yote ya 28.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwendraaa unabii my foot taifa linalosapoti ushoga na kufirana litakua la mungu?pumbavu acha kumkufuru mungu kwa mambo ya kipuuzi mungu wetu hayupo hivyo
 
Hiyo ni ndoto tu ktk nadharia. Kwa mujibu wa unabii, Israel ipo hapo mpaka mwisho wa dahari labda kama mtu anatumia kitabu kingine kisicho cha kinabii make vitabu viko vingi tu.

Hakuna cha ardhi ya wapalestina hiyo ardhi ni ya waisrael toka enzi na enzi na walipewa na Mungu kwa mujibu wa biblia. Na hata akina Ibrahim, Isaka, Yakobo, Yusufu, Daudi nk, woote walizikwa kwenye ardhi hiyo hiyo. Sasa leo hii mtu atasemaje eti ardhi ni yake. Pure Lunacy.

Hao wapalestina, ambao ndio akina Goliath, walikuwa wakiishi Gaza toka zama hizo huku wakiabudu miungu na ndio maana Mungu aliwalaani, hawawezi wakatwaa ardhi isiyo yao. That will never ever materialise.
acha upumbavu wako wewe ngombe wa kilokole, israel ndo taifa lenye mashoga wengi na wanaruhusu ushoga na usagaji na ni taifa la kwanza asia nzima kuruhusu usagaji na ushoga halafu unakuja kuleta ujinga hapa nikuulize swali jee mungu aache kuwabariki wengine aje kuwabariki hao mashoga?vitu vingine utumie akili tu kama ingekua ukweli kuwa ni taifa la mungu basi ushoga usagaji ni sawa na mungu anapenda kitu ambacho sio kweli
 
Wewe kijana,. Ile ardhi sio ya wapalestina hata iweje hawatakaa waipate, hiyo mihemko yako ni sawa na nyoka anayejiuma mwenyewe baada ya kupata kibano.

Ushoga ni dhambi ya enzi na enzi hata uarabuni imekithiri labda kwa kuwa Quran haisemi chochote kuhusu hii dhambi. Wapi leo dunia hii ambapo hakuna mashoga. Biblia ilitabiri haya kitambo na ni kwa kuwa watu wamemuasi Mungu wa ukweli na wanamwabudu kinafiki ndio maana dhambi nyingi zinaongezeka.

Nimeelezea hapo historia ya hilo eneo linalogombaniwa ila kama huelewi na wewe unaleta matusi, basi am not in a position to dictate it to you. You're at liberty to believe the way you like it though your conviction won't change the facts on the ground. Take Care.
 
hahahaha umejikojolea usiku huu bila shakayaani huyo mtafiti mzayuni mbobezi unafikiri katamka tu kakurupuka?halafu hawa si ndo mnawaitaga kizazi teule?kubwa akilizii?iweje unampinga hujui ukienda kinyume na taifa teule au hao wana teule kwa imani yako utalaaniwahalafu makubwa utafiti afanye mzayuni kupinga apinge mwafrika wa huko iramba teh teh
Utakuwa sio mzima wewe unakojoa wewe nyambafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea kuamini ushuzi wa waarabu,Wao wameshindwa kufurukuta kwa lolote Israel ipo tu sembuse wewe Mmatumbi utasubiri sana na Israel haitatoweka milele.Ni wakati wako sasa kuwaambia Mabwana zako Waarabu kuwa Israel sasa kumenoga wakileta za kuleta itabidi wapewe tiketi ya moja kwa moja kukabidhiwa wale mabikira 72 walioahidiwa na mkubwa wao huko ahera!!!.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Watasubili sana Israel iishe kumbe wanaisha wao, kwanini Hitler hakuwamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe kijana,. Ile ardhi sio ya wapalestina hata iweje hawatakaa waipate, hiyo mihemko yako ni sawa na nyoka anayejiuma mwenyewe baada ya kupata kibano.

Ushoga ni dhambi ya enzi na enzi hata uarabuni imekithiri labda kwa kuwa Quran haisemi chochote kuhusu hii dhambi. Wapi leo dunia hii ambapo hakuna mashoga. Biblia ilitabiri haya kitambo na ni kwa kuwa watu wamemuasi Mungu wa ukweli na wanamwabudu kinafiki ndio maana dhambi nyingi zinaongezeka.

Nimeelezea hapo historia ya hilo eneo linalogombaniwa ila kama huelewi na wewe unaleta matusi, basi am not in a position to dictate it to you. You're at liberty to believe the way you like it though your conviction won't change the facts on the ground. Take Care.
Yeye anazani matusi yatamsaidia zaidi ya kujipa nuksi za bure , Israel pale imeshafika acha wafurukute kwenye chupa ingali imefungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! jamani jambo hili nimelizungumzia sana,kwenye thread zangu huko nyuma nilidhani watu wamenielewa lakini bado; narudia sasa kwa faida ya wengine. Amini amini nawaambia enyi watu pale Mashariki ya kati hakuna mwenye Taifa lile hat mmoja. wenye taifa lao hawajitambui kabisaa wako hoi bin taabani.hao wanaopigana wanajua siyo kwao'.
WALITOKA WAPI;
Hao siyo
waarabu ni Greece, kutoka Ugiriki ya kale.yaani sawa na wapemba ,wamechanganya na damu za watumwa wa kike waliozaa na mabwanyenye ya ki Giriki yalomiliki watumwa.kumbuka wanawake watumwa waliuzwa sana Mashariki ya kati. kuliko wanaume.wanajiita waarabu sababu wazungu wa ulaya na kwingineko waliwakataa, wakawambia nyie ni wa-Africa tu. pia sisi weusi wakatukataa wanasema wao ni waungwana. sisi ni manyani mpaka leo.tunakataliwa ivo.si unaona wale wapemba wa Temeke Wailes walivojitenga na weusi.basi ndo ivo.wana damu nyeusi wale ila ikitokea umezaliwa mweusi tu ndani ya familia yenu! eehe baba utatokomea kusiko julikana.chunguza vizuri utaona.unatelekezwa mbaya. hata uwe na hela vipi. they look down on you.mpaka Dini niliacha sababu hiyohiyo.kwa yaliyonikuta kwenye familia yetu'
WALIFIKAJE'
Hilo ni somo jingine kwa siku nyingine,kwa wakati mwingine; kwa herini;
 
Back
Top Bottom