Mwanahistoria mzayuni:Hadi miaka 30 ijayo Israel itakua imeshatoweka

Nawewe kwanini unachuki sana kwa waarabu na uislamu kwa ujumla?

Acha watoweke tu pumbafu zao. Mnajipendekeza wakat hawamkubali yesu na hata ukristo pia hawautambui. Jitathmini upya baba
The only way unaweza kuitowesha israel. Kwanza ipoteze america ,UK nzima, germany,france,canada.
Ukiwafuta hao kwenye uso wa dunia. Hakuna mahali israel atakuwa na pa kukimbilia.

Ila kama hizo nchi zitaendelea kuwepo. Na israel itaendelea kuwepo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuifuta israel haitowezekana kama matifa yanayo msupport yatazidi kwepo.
Akina us,canada, france,UK, NA nchi za muungano wa NATO.
Mkiwamaliza hawa.. israel hana nguvu. Ila wakiendelea kuwepo.. na israel itaendelea kuwepo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utasubiri sana na ukicheza ww utakuwa umetekea hata kabla ya 2020 sio israel..taifa hili walianza kusema haya usemayo miaka 5000 ilopita

Kila ki2 kina mwisho wake, ujerumani aliitawala dunia miaka ilee leo hii yukwapi! Sembuse israel anaepigana na washika manati na bado muoga! Siku ikipotea cjui mtajipendekeza kwa nani! Eti taifa teule 😁😁 taifa teule wanauwa innocent people! Ninyi Wa2 wa ajabu sana, mnatetea ujinga tu
 
Tatizo Waafrika wakiristo wanajiona na wao ni kama mayahudi su tusema wanawaabudu wayahudi kama watu wa mungu na niwatakatifu Sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app

C ndio kujipendekeza huko mkuu, kwani huwajui! Hawamtambui yesu wala ukristo hawaukubali lakini unakuta mijitu humu inang'ang'ana tu eti taifa teule mara oh tunajua ahadi za Mungu kwa taifa la Israel. Wa2 wa ajabu sana awa.
 
Acha unguruwe basi huyo akiyesema hayo ni mwarab?ni mwafrika?ni mhind?bali ni mzayuni mwenzao ukweli haupingiki nguruwe wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza nguruwe ni kitoweo kitamu sana! Alafu kwa mfano mimi na shahada zangu za uzamivu kutoka chuo cha dodoma nikiandika bandiko katika gazeti lolote kuwa magufuli hatoweza kujenga mradi wa umeme huko anapotaka kujenga kwa sababu anapingwa na mabeberu ndivyo itakavyokuwa?
 
Kwanza nguruwe ni kitoweo kitamu sana! Alafu kwa mfano mimi na shahada zangu za uzamivu kutoka chuo cha dodoma nikiandika bandiko katika gazeti lolote kuwa magufuli hatoweza kujenga mradi wa umeme huko anapotaka kujenga kwa sababu anapingwa na mabeberu ndivyo itakavyokuwa?

Mpaka ujioneshe kuwa umesoma! Ucpojitangaza kuna nini mukuu!
 
Back
Top Bottom