Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,484
- 20,045
Sonona ni ugonjwa mbaya sana.
Ukikatiwa rufaa ikafikia wale wazee wa CAT watapindua meza kwa lugha ngumu sana [emoji23][emoji23]. Wait and seeSheria iruhusu Wakristo huoa wake wengi ili kuondoa dhana ya michepuko. Case ya Elizabeth Mohamed vs John Magesa, Mahakama Kuu ilitoa msimamo mzuri sana wa sheria, kwamba, Mahakama inatambua kuwa Wakristo wanaweza kuwa na mke zaidi ya mmoja, na kwamba watoto wote ni sawa, haijalishi wamezaliwa na mke yupi.
Pia mahakama iliamua kwamba whether Mkristo katenda kosa kwa kuwa na wake wengi, hilo ni suala la kuamuliwa na sheria za kanisa (Canon Laws) na siyo suala la mahakama maana mahakama haina dini.
Huu ni msimamo wa mahakama japo upo Sheria ya Ndoa inasema vingijevyo
Duhkumuheshimu mume inapaswa kuwa sehemu ya mitaala yetu na still knowledge ikawa pawa.
Sasa ndio unasusa?!Nimeandika vya kutosha. Kama hujaelewa basi
Nilisahau kusema hilo, katika ndoa za Kiislamu ni kweli linakubaliia, ila msingi wa ndoa za kikristo ndio ninaoongelea na nitafafanua soon.suala la kuwa na mali binafsi lipo tena kisheria na hata kidini, kwa sheria za kiislamu ni jambo linalokubalika kwa mke ama mume kuwa na mali zake binafsi, linakubalika kabisa kuanzia kidini hadi kisheria za kidunia ni vile tu watu hawaangalii hilo kuwa kuwa kwenye ndoa sio lazima usiwe na mali zako binafsi
Basi hujaelewa sababu, ndoa za kikristo hazina talaka ndio maana. Ndoa za Kiislamu zina talaka hivyo kufanya kuachana kiwa kitu cha kawaida.Kwaa uzoefu wangu mahakamani na mashauri ya ndoa kwa ujumla, Wakristo ndiyo wenye shida zaidi kwenye ndoa.
Yaani ugomvi wa ndoa ya Kikristo unakuwa mzito sana kulinganisha na upande wa pili
Pamoja mkuu, nitaandika zaidi soon. NitakutagNipo hapa kujifunza nimeanza kuelewa nilivhopitia hapa na kwakutumia akili zangu, safi sana mkuu aya umeandika yamenifikilisha nikapata kitu[emoji848]
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Nitakutag mkuuabsolutely yes ! tunasubiri makala
Alipigwa 3 bilaAisee kumbe walishamgegeda na kumuwacha🤣🤣🤣🤣
Ndio haihusikiNaomba kuuliza
Hivi mfano nkawa na nyumba yangu nkaowa mke kanikuta nayo
Ikkitokea mmeachana nyumba haihusiki kimgawanyo?
Kwaa uzoefu wangu mahakamani na mashauri ya ndoq kwa ujumla, Wakristo ndiyo wenye shida zaidi kwenye ndoa.Wenye wake wengi wanaishi kwa raha? Migogoro ni kwa Wakristo pekee?
Siyo lazimaSasa ndio unasusa?!
Unasusa halafu unajiita mwana Jamii Forum ambapo kauli mbiu yetu ni we dare to speak openly.
Sio matrimonial home hio?Naomba kuuliza
Hivi mfano nkawa na nyumba yangu nkaowa mke kanikuta nayo
Ikkitokea mmeachana nyumba haihusiki kimgawanyo?
Naomba nakala ya hukumu ya hii kesi mkuu kama unayoSheria iruhusu Wakristo huoa wake wengi ili kuondoa dhana ya michepuko. Case ya Elizabeth Mohamed vs John Magesa, Mahakama Kuu ilitoa msimamo mzuri sana wa sheria, kwamba, Mahakama inatambua kuwa Wakristo wanaweza kuwa na mke zaidi ya mmoja, na kwamba watoto wote ni sawa, haijalishi wamezaliwa na mke yupi.
Pia mahakama iliamua kwamba whether Mkristo katenda kosa kwa kuwa na wake wengi, hilo ni suala la kuamuliwa na sheria za kanisa (Canon Laws) na siyo suala la mahakama maana mahakama haina dini.
Huu ni msimamo wa mahakama japo upo Sheria ya Ndoa inasema vingijevyo
Mbona kama kuna jazba hapa. Hii research yako uliifanyia wapi na kwa thesis ipi? Support hoja yako kwa evidence mkuuInasaidia. Waislam wana furaha na ndoa zao ukilinganisha Wakristo.
Wakristo wanaume wanakufa haraka kuliko Waislamu.
Waislamu wanzidi kuwa vijana huku Wakristo wakizeeeka mapema zaidi.
Na hili ni kutokana na uhuru walionao Waislamu huku Wakristo wakifungwa na sheria za Kanisa na ile ya Ndoa katika suala zima la kufunga ndoa na malezi
Kuna movement ya kukataa ndoa inaendelea JF ama nini maana thread zimekuwa nyingi.
Sijaandika thesis. Hii personal analysis katika jamiiMbona kama kuna jazba hapa. Hii research yako uliifanyia wapi na kwa thesis ipi? Support hoja yako kwa evidence mkuu