Mwanahamisi Singano: Ndoa hazina maana tena

Mwanahamisi Singano: Ndoa hazina maana tena

Inasaidia. Waislam wana furaha na ndoa zao ukilinganisha Wakristo.

Wakristo wanaume wanakufa haraka kuliko Waislamu.

Waislamu wanzidi kuwa vijana huku Wakristo wakizeeeka mapema zaidi.

Na hili ni kutokana na uhuru walionao Waislamu huku Wakristo wakifungwa na sheria za Kanisa na ile ya Ndoa katika suala zima la kufunga ndoa na malezi
Leta literature inayo-support hoja yako? Au unaongea kihisia zaidi?
 
Hakuna maisha yasiyokua na mfumo. Na kitu chochote kinachofanyika bila kuzingatia mfumo lazima kiyumbe.

Kuna mfumo unaoendesha maisha ya ndoa. Huu mfumo usipozingatiwa lazima ndoa iyumbe.

Anachozungumza mwandishi ni kwamba hii mifumo inayoendesha maisha ya ndoa inabidi iendane na wakati kwasababu bila kuendana na wakati ni lazima ilete confusion kwa wanandoa.

Mtu yoyote mwenye akili timamu anaelewa umuhimu wa ndoa.
Na ukitaka kuthibitisha kwamba ndoa ina umuhimu mkubwa, ndugu Maxence Melo mwenyewe ana ndoa.

Tunaohangaika ni sisi wenye uelewa finyu kuhusu ndoa. Na wewe kujeruhika na mahusiano hapaondoi umuhimu wa ndoa.

HEAL YOUR WOUNDS THEN FIND LOVE AGAIN. Hakuna kitu kinasononesha kama kuzeeka mwenyewe.
 
Kipi kifanyike ndugu mtaalamu

Kama kweli, tunataka ndoa ziendelee kuwepo, basi tuzitafutie maana mpya na mifumo mipya inayoakisi mahitaji wa wanandoa wa karne hii ya ishirini na moja. La sivyo tutaendelea kuhesabu talaka, single mothers and fathers na ongezeko la kutisha la ukatili wa kijinsi(a) pamoja na mauaji baina ya wenza. Ni muda sasa wataalam wa sayansi wa jamii kuanzia wanasosholojia hadi wanasaikolojia kufanya kazi yao ipasavyo au tuendelee kutia ndoa doa.
 
Hakuna maisha yasiyokua na mfumo. Na kitu chochote kinachofanyika bila kuzingatia mfumo lazima kiyumbe.

Kuna mfumo unaoendesha maisha ya ndoa. Huu mfumo usipozingatiwa lazima ndoa iyumbe.

Anachozungumza mwandishi ni kwamba hii mifumo inayoendesha maisha ya ndoa inabidi iendane na wakati kwasababu bila kuendana na wakati ni lazima ilete confusion kwa wanandoa.

Mtu yoyote mwenye akili timamu anaelewa umuhimu wa ndoa.
Na ukitaka kuthibitisha kwamba ndoa ina umuhimu mkubwa, ndugu Maxence Melo mwenyewe ana ndoa.

Tunaohangaika ni sisi wenye uelewa finyu kuhusu ndoa. Na wewe kujeruhika na mahusiano hapaondoi umuhimu wa ndoa.

HEAL YOUR WOUNDS THEN FIND LOVE AGAIN. Hakuna kitu kinasononesha kama kuzeeka mwenyewe.
Umeeleweka Mbappe,vipi hapo PSG mambo yanaendaje? mpe hi Messi.
 
Literature ya nini wakati jambo lipo wazi? Sijaongea kihisia; nimeandika uhalisia, kama hutaki acha.
Huwezi ukaongelea human behaviour kwa stahili yako, human behaviour ni very subjective.

Wewe umekaa hapo kitongojini kwenu halafu unataka kufanya generalizations ya behaviour ya dunia nzima? You are not serious.

Unless kama unajenga hoja ya nyanya na vitunguu.
 
Ila kila mtu analia na lake. Huyu analia mume hana muda naye, kama hayuko safari kikazi, yuko baa na marafiki, akiuliza, anajibiwa, kwani umekosa nini? Yule analia mume hajigusi kwenye majukumu ya kifamilia kwa kuwa mke ana kipato kikubwa.
Sababu za kitoto sana hizi aiseeee, sometimes hawa wanawake wa kisasa ni Bure kabisa! Turudi kwenye maandiko Matakatifu
 
Back
Top Bottom