Hebu taja hiyo sababu tafadhali.Usifikiri sie ni wageni nchi hii, Sitta alisitisha kujadiliwa kwa mjadala wa Richmund mpaka awepo kwa sababu kinyume na hiyo unayotaka kutudanganya hapa.
Je, Sitta na Mwakyembe wako CCM kwa sababu wanaipenda CCM ?Uwa nakuheshimu sana kama Mzee mwenye Busara, lakini unapoanza kutudanganya watu wazima kwenye vitu vilivyowazi kabisa, vitu ambavyo ata mtoto wa darasa la 3 aliyeusikia mgogoro wa serikali na bunge katika utekelezaji wa maazimio ya kamati ya Mwakyembe anavijua, utakuwa unajivunjia heshima yako mwenyewe, jana umeombwa hapa uelezee huo ufisadi wa Sitta ukatokomea, leo unarudi tena na Ufisadi-Unafiki kwa hoja za uongo, hiyo sio stahili yako.
Mimi Mag3 sifichi, sipo CCM kwa sababu siipendi CCM.Najua unaipenda sana Chadema, lakini usikubali upenzi wako ukupofoshe akili, kwenye ukweli simama tu kwenye ukweli, na katika ukweli huo na walio gizani watauona mwanga, lakini kwa kuokoteza okoteza hoja hivi, am dissapointed, vinginevyo wewe ndiye utaonekana Mnafiki na mwenye gubu, uliyepofushwa macho kwa either upenzi wako au chuki yako.
Hebu taja hiyo sababu tafadhali.
Je, Sitta na Mwakyembe wako CCM kwa sababu wanaipenda CCM ?
Mimi Mag3 sifichi, sipo CCM kwa sababu siipendi CCM.
Ahsante, it is nice to know kwamba huna jibu.....waulize watoto/wajukuu wako watakujibu bila shaka...
Basi hapa nitakusaidia;....Hilo ya Sitta na Mwakyembe halina hadhi ya kuwa swali, kama wanaipenda au hawaipendi ni suala lao binafsi kama lilivyo lako kwenye upenzi wako...
Ahsante, it is nice to know kwamba huna jibu.
Basi hapa nitakusaidia;
Kama wanaipenda CCM, ni mafisadi (birds of a feather fly together)
Kama hawaipendi CCM, ni wanafiki (they want to eat their cake and have it)
Now there !
...Nimekwambia waulize watoto au wajukuu ili ujishangae mwenyewe....
...Kwa kuwa umejifungia kwenye kachumba kadogo kanakoitwa "Mahaba kwa Chama", hautaweza kuona zaidi ya hivyo ulivyoona, lakini ukitoka nje ya hako kachumba kalikoubana ubongo na kupelekea moyo kufanya kazi ya ubongo, utaona kumbe upo kwenye nchi nzuri Tanzania, yenye watu wazuri na yenye watu wabaya pia waliosambaa kama mchanga wa bahari kwenye makabila, dini, vyama, ngo, mitaa na vilabu tofauti tofauti...
....Utawaona mamia ya watu makini na maelfu ya watu wabovu/wezi ndani ya CCM, utawaona makumi ya watu makini na maelfu ya wabovu/wezi ndani ya Chadema, kama utakavyowaona pia makumi ya watu makini na maelfu ya wabovu/wezi ndani CUF na NCCR, na list inaendelea...
Tangu lini ukweli unadidimizwa na umri.
Ukiwa na donge lako jisajili JF na ulitoe hadharani
Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni
A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi
3. Tanzania Daima
B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe
Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta
Mkuu Tanzania daima imeanza "kumshughulikia" samwel sitta siku nyingi tangu akiwa spika.
Mwananchi hawajabadili staili yao ya kuandika habari za kuvua gamba, labda hulisomi vizuri, wale wanapiga kwa miguu yote, isipokuwa rost tamu ndiye sijawahi kuona likimshughulikia, na sababu iko wazi sana.
kwahiyo sijaona dots ziki connect hapo.
Mtachonga saaana lakini msaliti Sitta lazima achambuliwe, mafisadi wengine pia lazima wagongwe, hakuna cha EL,RA, AC wala nani wote ni maadui wa taifa, hakuna jiwe litabaki bila kugeuzwa.Go Kubenea go.
What is the evidence kwamba amenunuliwa? Au ndio utamaduni unaojengeka wa kuaminisha watu hisia kwamba ndio ukweli?
What is the evidence kwamba amenunuliwa? Au ndio utamaduni unaojengeka wa kuaminisha watu hisia kwamba ndio ukweli?
Kubenea angejitafutia chuo akasome na kuondokana na ukihiyo wake wa kuandikiwa makala. Ngurumo analijua sana hili. Kimsingi, Kubenea si mpambanaji bali mgangaji ambaye alipata umaarufu kutokana na kumwagiwa tindikali kwa kile kinachodaiwa kutembea na mke wa mtu ambaye anajulikana kuwa alikuwa akifanya kazi kwa Bakharessa. Kwa wanaomjua Kubenea tangu akiwa Habari Corporation wanashangaa huu umaarufu wa kiundishi unatoka wapi kwa mtu ambaye elimu yake ni ndogo hivyo. Anyway, ukipenda chongo huita kengeza. Kwa wanaomjua Kube watazidi kushangaa hadi siku Kubenea wa kweli-kihiyo na mgangaji njaa atakapofichuliwa. Ingawa mtoa hoja hakwenda mbali zaidi ya kutumia picha ambayo kimsingi, haionyeshi chochote bali salamu za kawaida ambazo hazigombi, kuna siku wanaomjua Kubenea wa kweli na ndoa yake na CCM ya kumpeleka India kila mwezi watasema na ataumbuka na wanaomuona shujaa watatafuta pa kuficha aibu.
Ni ajabu lead story kutoandikwa na Kubenea kwenye gazeti lililopita. Ukiona hivyo jua maji yanaanza kuzidi unga. Importantly, time will surely and accurately tell. When is that? Just soon and soon just soon.
Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"
Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.
Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;
1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.
MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!