kipanga mlakuku
Member
- Jun 9, 2011
- 92
- 53
HUMU walionunuliwa ni wengi mpaka rais mkuuHuyo mbona alishanunuliwa siku nyingi? Kama anabisha, yeye ni member humu hebu aingine akanushe ili tumuumbue.
Sijaona kuwiana kwa habari,picha na madai kiujumla. Mkuu fafanua zaidi tafadhali
Unahangaika Sana Mkubwa Ulitaka kubenea Amsifie Sitta ndio uone Anapambana na Ufisadi. Kubenea Anatwanga kotekote
kwa kazi yake yeye kubenea kama mwanahabari alishaweka vielelezo vya kutosha hadharani kuwa yeye ni mpambanaji na ndiyo maana akamwagiwa hata tindikali, lakini pia kumuachia daffi aandike makala ya lowassa si kigezo cha kumuogopa lowassa,kwenye gazeti la trh 2 amendlka makala nyingine YA MAJERAHA YA UDINI YATAANGAMIZA TAIFA kwa namna maoja ama nyingine hakuna mwiko kwamba kila habari iliyo front page sharti iandikwe na kubenea na si lazima kila habari ya lowasa iandikwe na kubenea! HAPANA, Cha msingi tuwekee vielelezo kuwa kubenea hawezi kazi yake tuelewe mambo ya picha za kusalimiana hakuna mipaka kuwa mwizi hasalimiwi,TWAMBIE WEWE UMEANDIKA HABARI NGAPI? HATA ZA HUYU MNAFIKI SAMWEL SITTA
Huyo mbona alishanunuliwa siku nyingi? Kama anabisha, yeye ni member humu hebu aingine akanushe ili tumuumbue.
Mkuu hiki ni Chanzo cha Magamba Kumshambulia Kubenea
Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni
A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi
3. Tanzania Daima
B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe
Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta
Unakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni
A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi3. Tanzania Daima
B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe
Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta
Nilipojitokeza hadharani kwa mara ya kwanza kupinga vikali imani iliyokuwa inaenezwa mithili ya moto usaambaao kwenye nyasi kavu kuwa eti Saed Kubenea ni mpambanaji wa kweli. Nilijitokeza kwenye majukwaa kadhaa ikiwa ni pamoja na Mwanahalisi wenyewe kukanusha vikali imani hii ambayo niliamini kuwa ni upuuzi mtupu lakini pia nikaahidi kwa kusema "time will tell"
Ikiwa takribani ni miaka sita sasa ni dhahiri kabisa kuwa kile ambacho nilikibashiri sasa ndicho kinatokea na labda niseme wazi huu ni mwanzo tu kaeni mkao wa kula kwa maana kuna atakayekula kabisa matapishi yake. Wafatiliaji wa gazeti la Mwanahalisi hususani mwandishi Saed Kubenea sasa kwa kujua au kutojua naona wote kwa umoja wao wanaungana na mimi kuwa "bei yake " imefika na sasa amenunuliwa.
Kwa mantiki hii nimekusudia kusema "kweli" yote kuhusu Saed Kubenea, ukweli wenyewe ni huu kwa mchezo aliofanya jana kwenye kichwa cha habari cha nje hakuna ubishi kuwa amepata sifuri mtihani huo. Sababu za kuyasema haya ziko wazi kama ifuatavvyo;
1.Alichofanya Samwel Sitta kumtuhumu kwenye kipindi cha dakika 45 ilikuwa ni kama kuchokoza nyuki
2.Baada ya kutuhumiwa Kubenea akaanza mashambulizi na matusi kedekede dhidi ya Sitta
3.Kwa vile Mungu alishapanga kumuumbua akajikuta mara moja amefanya mchezo wa kitoto kwa kutaka kuuaminisha umma wa Tanzania kuwa hajanunuliwa eti kwa kuibuka na kichwa kikubwa cha habari "Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.
MY TAKE;
Kwa vile yeye (Kubenea)amejiumbua mwenyewe tena kwa mbinu rahisi za kujifanya bado yuko ngangari dhidi ya Lowassa, sasa na tuseme enough is enough kwani sasa imetosha, atuache tujitafutie habari wenyewe kuliko kupika habari hizo kwenye vyumba vya "mafisadi" kisha kutaka kutunywesha, sisi kama watu huru na wazalendo tunasema, kwa hili kubenea umepata zero na tunaweka "BIG NO!