watake wasitake MWANAHALISI KILA WIKI TUTASOMA NA HABARI ZAKE TUTAENDELEA KUZIAMINIKwanza kabisa nakwambia spade shall never be a spoon. Wewe umetumwa tu kumchafua Said Kubenea, nami najitokeza wazi kabisa kukwambia kwamba huna ubavu wowote wa kuita spade kuwa spoon. Kubenea na mwanahalisi litabakia kuwa gaziti la umma, na litasomwasana mpaka ulie.
Kwanza nikupe kitu cha ajabu sana ambacho ni cha pekee kwa mwanahalisi. Ukifanya jambo zuri kwa taifa wanakutunuku, na wewe huyo huyo utakapoharibu wanakukosoa. Hii ina maana gani? Hawana usabiki, ila huandika habari yakinifu, tofauti na uhuru na mzalendo. Hiyo ya kununuliwa inakuhusu wewe na kununuliwa kwako kumchafua Kubenea.
Kwanza hauna hata consistency katika hoja zako, mtu aliyenunuliwa anaweza akageuka na kuandika habari kame hii? Hebu angalia habari za uhuru na mzalendo.
"Mzimu wa Ricmond wamwandama Lowassa" katika toleo la jana huku akimpachika Jacob Daffi jukumu la kuiandika taarifa hiyo.
MY TAKE;
Kubenea hamchukii aliyekuwa, kama mtu binafsi, na huenda hana tatizi nae, yeye anazungumzia suala la Richmond. Anazungumza unafiki katika kupooza suala hilo kana kwamba ni mkuu pekeyake ndio alihusika. Kwanini mswada ulikufa haraka haraka, kama sio unafiki wa Ndioooo. Mwacheni. Hata yule nanihii alisema kuna mengi hatujasema, kasome hansadi.
Tutasoma sana Mwanahalisi.
What is the evidence kwamba amenunuliwa? Au ndio utamaduni unaojengeka wa kuaminisha watu hisia kwamba ndio ukweli?
The evidence ni kitendo chake cha kuwashambulia vinara wa vita dhidi ya ufisadi. Kila mtu anauheshimu mchango wa Sita na Mwakyembe katika kupingana na rushwa nchi hii.
Kubenea kanunuliwa siku nyingi na mafisadi, ndio mabwana zake wapya. Hapo anamsalimia fisadi Lowassa kwa unyenyekevu kama mke amsalimiapo mume wake. Habari yenyewe ya wiki hii yenye kuhusu Richmond kumwandama Lowassa ni ya kinafiki. Ni danganya toto eti kutaka watu wadhani kuwa bado anaendelea kumgonga Lowassa, ndani ya habari yenyewe kaandika utumbo mtupu kuwa eti serikali nzima ndio iliyohusika na Richmond badala ya kusema ukweli kuwa wahusika wakuu wa rushwa hii ni Edward Lowassa, Rostam Aziz na Nazir Karamagi.
Kubenea ana roho nyepesi kama kuku, ndio maana kanunuliwa na mafisadi na sasa anaelekea kufilisika.
Kubenea ni jembe lililowafunuwa Watz na kuwafanya chupi za mijizi ya CCM kuwaka moto. Wanavyomuandama, ni sababu tosha kabisa kwamba kwashika pabaya sana, kuanzia top wao JK kwenda chini.
Wanahaha hovyo hawajui wasemalo, wala wafanyalo. haya tena madudu mengine ya TIB haya hela zilizorejeshwa zachotwa. Kubenea alilianzisha hili kwa kuwataja wezi hawa katika gazeti lake mwaka 2007 orodha ya wezi 11 kuanzia JK. hakuna gazeti jingine lilikuwa na balls la kutraja majina hayo.
Kubenea ni mkombozi wa wanyonge -- HONGEERA SAANA. ENDELEA NA NYUNDO ZAKO!
Kubenea kanunuliwa siku nyingi na mafisadi, ndio mabwana zake wapya. Hapo anamsalimia fisadi Lowassa kwa unyenyekevu kama mke amsalimiapo mume wake. Habari yenyewe ya wiki hii yenye kuhusu Richmond kumwandama Lowassa ni ya kinafiki. Ni danganya toto eti kutaka watu wadhani kuwa bado anaendelea kumgonga Lowassa, ndani ya habari yenyewe kaandika utumbo mtupu kuwa eti serikali nzima ndio iliyohusika na Richmond badala ya kusema ukweli kuwa wahusika wakuu wa rushwa hii ni Edward Lowassa, Rostam Aziz na Nazir Karamagi.
Kubenea ana roho nyepesi kama kuku, ndio maana kanunuliwa na mafisadi na sasa anaelekea kufilisika.
kanunuliwa kwa shiling ngapi?kupigwa picha anapeana mkono na lowasa sio solid evidence,hata mbowe anapeana mkono na jk,.tuletee ushahidi wa maana sio hiyo picha.
Sawa KAKA kubeneaUnakumbuka Baada ya CCM kutangaza kujivua Gamba na Nape kutembelea Media House zote za Tanzania? Matokeo ya Visiting ile ni
A. Magazeti yafuatayo yalikataa kuimba Wimbo wa kujivua Gamba na sasa yamekua ni Maadui wa CCM-Sitta
1. Mwanahalisi
2. Mwananchi
3. Tanzania Daima
B. Magazeti yafuatayo yaliamua Kucheza Ngoma ya Kujivua Gamba ya akina nape
1. Raia Mwema ( Siku hizi nimeacha kulinunua)
2. Uhuru
3. Nipashe
Kwa Hiyo Kundi A limekuwa ni Adui mkubwa wa CCM-Sitta
Pesa sabuni ya roho!
wewe una akili za kuku kama huoni makosa ya SITTAKubenea kanunuliwa siku nyingi na mafisadi, ndio mabwana zake wapya. Hapo anamsalimia fisadi Lowassa kwa unyenyekevu kama mke amsalimiapo mume wake. Habari yenyewe ya wiki hii yenye kuhusu Richmond kumwandama Lowassa ni ya kinafiki. Ni danganya toto eti kutaka watu wadhani kuwa bado anaendelea kumgonga Lowassa, ndani ya habari yenyewe kaandika utumbo mtupu kuwa eti serikali nzima ndio iliyohusika na Richmond badala ya kusema ukweli kuwa wahusika wakuu wa rushwa hii ni Edward Lowassa, Rostam Aziz na Nazir Karamagi.
Kubenea ana roho nyepesi kama kuku, ndio maana kanunuliwa na mafisadi na sasa anaelekea kufilisika.
Sawa KAKA kubenea