Mwanahabari Erick Kabendera ahojiwa na BBC Swahili, aeleza yaliyomsibu

Kwa michuki hiyo huwezi kuvuka 50
I'm 53 now, michuki yako, midua yako mibaya na husda vimeshindwa.
Wewe ni Nani Hadi uunenee uhai na uzima wangu?
Zile Zama mlizokuwa mkituua bila kuchukuliwa hatua zozote kwa kigezo Cha kumfurahisha bwana wenu zimepita. Ninakuombea uzima tele na MAISHA marefu yaliyojaa heri, baraka, fanaka, afya tell, mafanikio, furaha, Amani na utajiri mkubwa.
 
Mpumbavu wewe na shame on you,21st century middle class wa kitanzania anaongelea upuuzi huu,je wewe ni raia?kabla ya kujiona unaishi in a shithole country ambayo haina IDs kwa raia wewe wewe unaona sawa tu.
Inaonesha kweli alikuwa Mrundi mbona umewaka hivi na povu jingi.
 
Hiyo Siyo kweli. Ukizaliwa nje, ni mtanzania provided that mzazi wako moja ni Mtanzania. Ila tofauti ni kuwa ukifikisha miaka 18 ni lazima ule kiapo cha kuchukua uraia wa Tanzania.
Hapo umesema nini? Usipokula Kiapo inakuwaje?
 
Hakika inauma,JPM ni kweli alikuwa raia halali wa Tz? Ni kweli alikuwa binadamu aliyetimilika?Ni kweli alikuwa kiumbe chenye nyama na damu? Mungu wa rehema mpe pumziko jema JPM ,tumemsamehe kwa yote aliyotutendeya.
 
Halafu warundi wamejificha huko temeke,

Wakizaliana wanajitahidi kuhonga Ili wapate birth certificate,

Tusipokuwa makini in 20 years time sleeper agents watakua kibao kwenye system.
Kuna mrundi mmoja tyr kaishajichomeka mpka meza kuu hadi kwako napajua
Huyu huyu VP
 
kwani wewe hutaondoka??
Ataondoka kwa heshima zooote!! Na atakumbukwa kwa mema milele km nyerere!!
Pia ataombewa na wengi Mungu wa kweli ampokee!! Jitu gani lina laaniwa nchi nzima kwa ujambazi.

Asa vijana wadooogo hao!! Angeongea nao km mzazi wao!! Akawaonya kwa hekima za km mzazi yakaisha. Yeye alipiga km anaua nyoka!! mweee!! Utadhani halikuzaa..!!!

Kuonyesha kuwa
Mungu alikasirika sana kwa vitendo vyake hata Gujiwe halikutubu!

Mo!! Ni mtoto mdogo sana kwa lile zee!! Hata hizo mali zimemfuata tu Mo!! Angemuita akamuomba hela dogo angempa!! Wangekuwa marafiki tu!!

Lkn sababu lilikuwa na unoko ule wa kisukuma lilitamani afe!! Umma ukaja juu! Ndo ponapona yake!!

Kwa mara ya kwanza Tz kutawaliwa na Maskini. Na kweli kafa kimaskini.
Halikuwa na mbinu za utawala lilikurupuka tu...na dhambi hiyo itawatafuna milele mpaka mtubu!! Toba ya kweli!
 
Halafu warundi wamejificha huko temeke,

Wakizaliana wanajitahidi kuhonga Ili wapate birth certificate,

Tusipokuwa makini in 20 years time sleeper agents watakua kibao kwenye system.
Maskini wewe!! ndo maana hukusoma hao wasije ila wahindi waje!!
Unajua maana ya Africa one wewe??!! Nasema Kifo kina kuhusu....
 
Kwa yale Makalio yake yalivyokuwa yamelegea 'Ndembe Ndembe' ndani ya ile Khanga aliyotupwa nayo pale Gymkhana Court wala hatuhitaji tena kusikia Simulizi yake ya nini kilimkuta huko kwani Watoto wa Mjini na tuliokulia Pwani na Wabobezi wa kwa Mpalange tumeshajua alichokumbana nacho huko.
Mkuu mbona ngoma drooo!! Unajua Jiwe kwa sasa lenyewe linatafunwa na nyenyere wahuni tena weusi tii!!

Tena wanafanya vibaya wale heee!! linawategea kiulaiinii!!

Jiwe amelipwa sawasawa na aliyo tenda. Bila toba!! alitubu wspi onyesha!!

Mapadre wahuni alio sali nao walikataa kumkumbusha. Piga picha yuo wapi leo....
 

Naaam!! Inatia simanzi sana jiwe hakika alikuwa shetani hasa!! Si binadamu wa kawaida yule.

Chozi la huyu mama halikwenda bure!! Jiwe hakuupata u tajiri na sifa alio taka kwa nguvu... wala hata kufurahia maisha. Amebaki kubezwa ktk historia km Dikteta sasa alifaidi nini?...

Nawaomba sana wa Tz na majirani huko mjifunze kupitia hapa. Kuwa ubaya haufai...chozi la Mama ni zaidi.

Huyo Mama aliweza kumzaa jiwe! Ukatili...ukatilii.....
 
Kwa yale Makalio yake yalivyokuwa yamelegea 'Ndembe Ndembe' ndani ya ile Khanga aliyotupwa nayo pale Gymkhana Court wala hatuhitaji tena kusikia Simulizi yake ya nini kilimkuta huko kwani Watoto wa Mjini na tuliokulia Pwani na Wabobezi wa kwa Mpalange tumeshajua alichokumbana nacho huko.
Watoto wa marehemu zarendo uchwara😂😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom