Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

GEOGRAPHY
Map reading
Qn. Describe the factors that have affected the contents of the area shown on the map.
Necta form four.
.........hili swali linaendaje.?

Sent using [Huawei P8]
Sikumbuki vizuri maana nimetoka shule siku nyingi ila baadhi ya factors ni;
1. Time (when the map was drawn), ukichora ramani ya Dsm ya leo pale K/koo haitakuwa sawa na ramani ya K/koo iliyochorwa 1998 au miaka ya nyuma, saiv pamejengeka sana, barabara zimeongezeka n.k

2. Purpose of the map (what did the map intent to show), mfano mchoraji anaweza kuchora kuonesha vituo Petrol peke yake sasa lazima map itakua na content tofauti na ile itakayochorwa kuonesha kambi za jeshi n.k


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza kabsa mwanafunzi utatakiwa uelezee nn maana ya fasihi then utuelezee maana ya siasa jamii baadae kwa kusimamia hoja ya siasa hubadilika kutokana namabadiliko ya kijamii utaeleza ni vipi fasihi simulizi ya Tanzania zimebadilika kutokana na siasa za tanzania.mfano kipindi Cha mfumo wa chama kimoja kulikuwa na nyimbo nyingi zilizokuwa zinasifu na kuelezea mfumo huo,kikaja kipindi Cha mapinduzi watunzi wengi wa fasihi simulizi walitunga kazi zao kuelezea faida na hasara za mapinduzi,saizi tuko kwenye siasa za vyama vingi watunzi wengi wanatunga kazi zao wakilenga kutangaza vyama vyao tahadhari;ukipewa maswali ya kichagua hili achana nalo

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu Asante sana!
 
Hen like man other birds are adapted to life in area with scarcity of water. Therefore instead of releasing urea as end products of nitrogenous waste they tend to excrete uric acids that its excretion requires very little amount of water. In this way nitrogenous waste products are released in solid form instead of liquid urine..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa nishapata cha kuwajibu wale wa "" utaeleza kwa sababu gani kuku akojoi""
 
Kwa mwalimu wa kiswahili
"kiswahili ni lugha kwa dhati yake wala si pijini au krioli fafanua kwa kutumia ushaidi wa kihistoria na kiisimu. msaada jaman
 
Back
Top Bottom