Vijana wa sasa wavivu kwelikwelii....Si uingie hata google mzee
Kujiongeza nako shughuliVijana wa sasa wavivu kwelikwelii....
Au kama anaona uvivu akamate njuka ( form one) atamsaidia maana wamesoma kwenye civicsKujiongeza nako shughuli
Mkuu Mimi nilikuwa nataka kufaham jinsi yakuandika research proposal just an overview jins inatakiwa kuonnekana mana hapa kichwa kinawaka moto nisaidie pls kama unaeza nitumia kwa PDF itakuwa vizur.0655184593Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo
Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.
karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.
Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Mkuu nataka kudowld soft copy ya kitab cha marketing and public relation nafanyaje?msaada plsKama umepata pesa ya bando la kuanzisha Uzi JF vipi umeshindwa Ku google??
But penda kwenda library kijana kuna vitabu kibao au pia unaweza ukadownload soft copy ya vitabu.
ACHA UVIVU
Mkuu nataka kudowld soft copy ya kitab cha marketing and public relation nafanyaje?msaada pls
Anybody ni mtu yoyote but somebody mtu Fulani ambaye you think can help it with you in a perfect way.Mbona matumizi ya neno some na any yana utata kwa mfano unaposema some one lakini kuna kipindi unaweza kusema.any body?
Large surface area occupy small pressure. Miguu za tembo are quite different from human beings.Kwanini tembo hazami kwenye maji ya tope kirahisi ikilinganishwa na binadamu?
Ndovinapatikana huko Mkuu?asante