Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Kama umepata pesa ya bando la kuanzisha Uzi JF vipi umeshindwa Ku google??
But penda kwenda library kijana kuna vitabu kibao au pia unaweza ukadownload soft copy ya vitabu.
ACHA UVIVU
 
Kuna maswali ukiulizwa unaeza tamani kupiga mtu VIBAO!! Yan hili swali kweli ni lakulileta huku? Ndugu kama unasoma LAW hama haraka nenda BASO!, coz ukianza kusoma JURISPRUDENCE sijui utaleta maswali mangapi huku??
"THINK IT IS NOT ILLEGAL YET"
 
mimi nauliza shairi la kimapokeo linakuwaje na je vina vya kati na mwixho vinaweza vikafanana? Mfano: tuwe nao ukarimu, amani pendo nidhamu.....? Midhani ipo nane kama kawaida kasoro vina kufanana!
 
kwangu mimi tupia swali lolote la hesabu, physics na chemistry, kuanzia chekechea mpka form six

karibu
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Mkuu Mimi nilikuwa nataka kufaham jinsi yakuandika research proposal just an overview jins inatakiwa kuonnekana mana hapa kichwa kinawaka moto nisaidie pls kama unaeza nitumia kwa PDF itakuwa vizur.0655184593
 
Kama umepata pesa ya bando la kuanzisha Uzi JF vipi umeshindwa Ku google??
But penda kwenda library kijana kuna vitabu kibao au pia unaweza ukadownload soft copy ya vitabu.
ACHA UVIVU
Mkuu nataka kudowld soft copy ya kitab cha marketing and public relation nafanyaje?msaada pls
 
Kwa waliosoma masters nauliza hivi research proposal unakatikwa uwe nayo mwanzo kabisa kabla ya kuanza masomo, au inapatikana mwaka wa pili wa masomo?

Maana ktk application forms nilizo jaza ninaona wanataka niambatanishe na “study plan not more than 500 words”

Naomba mwenye ufahamu anijaze fajamu juu ya hili
 
48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom