Alsahafu Siraji
Member
- Aug 28, 2016
- 83
- 34
Lita ni ujazo huwezi kulinganisha kwa kiloSWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
Pembetatu pacha, angle ya juu ndani ni thamani ya'y' na angle mbili za ndani chini ni pacha, pia angle ya nje upande wa pacha ni thamani ya'3y' tafuta thamani ya 'y'
4N=3M..tuite equation 14N=3M. Find the value of N&M
Kamanda hiyo pembe ni pacha so ukichukua 3y ya nje ujumlishe y iliyopo ndani kwenye mstari mnyofu ili kupata thamani ya y, hutapata 180,
Na pia uliambiwa pembe za ndani zote ni y, hivyo ukiamua kuzifanya kuwa 36 hazitakuletea jibu stahiki.
Hivyo nachoamini umerong labda wenzangu watakuwa wana majibu zaidi.
Mm nakaribisha maswali ya pure mathematics na economics na unaweza pia nipata 0659707051
Mm nakaribisha maswali ya pure mathematics na economics na unaweza pia nipata 0659707051
Mm nakaribisha maswali ya pure mathematics na economics na unaweza pia nipata 0659707051
Factorize :
(a) 6x2 -11xy -10y2
(b) am+3bn-an+3bm
5/100x5=25%(5÷100)×5=0.25.
Umeishia darasa la pili nini maana hii hata standard 4anafanya
1.it deals with human behaviours, we differ in behaviour and not possible to define using a behaviour of a certain human beingWhy economics has no single definition?
Wat iz ze diffelence bitween business man and entrepreneur
Swali lako lilitakiwa liwe kwanini 2+2=4 na 2x2=4kwani i mbili kujumlisha mbili ni nne na nne mara nne ni nne kwanini isibadirike?
Gpa kuna firmula maalumu with respect na marks unayopata, mfano km A inaanzia 81-100 mwenye marks 100 hawezi kupata gpa sawa na mwenye marks 88 japo wote wana grade Anaomba kujuaa tofaut ya gpa na mfumo wa division wa zaman walmu
Kwahyo nikiwa juu ya basi nikaruka wakati basi lipo kwenye mwendo nikitua natua kwenye sehemu ile ile auhautaganda. dunia na vitu vyote ndani yake vinazunguka kwa speed ya 1600km/hr. ni kama tuko kwenye basi ukirusha funguo juu itatua ulipo sababu nayo ipo kwenye mwendo.
Acha bangi5/100x5=25%
jaman kunaswal la hesabu hapa limenishnda naomben msaada" ( 1/4robo ya ng'ombe wa mzee yagayaga wamekufa,,1/5 ya ng'ombe waliobak n wagonjwa,,..ng'ombe 180 n wazima!!! je! mzee anang'ombe wangap???
Hizo huwaga ni heasbu za kihuni ambazo hazifuati kanuni za kihesabu
Wanasema hivi, 25/5, 2 haigawanyiki kwa tano, bali 5 inagawanyika kwa 5 na inaingia mara 1, so unakuwa na 1 pembeni so katika 25 utakuwa umebakiwa na 20 kwa sababu 5 imeshagawika , hivyo hiyo ishirini kwa tano inaingia mara nne, so ile moja yankwanza na hii nne ndio unapata hiyo 14
Bonge la uongo
Ukipata aslimia 13 kihesabu ni 13/100,sasa 5/100x5=25/100 au 25%Acha bangi