Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 837
- 494
N=3 & M=44N=3M. Find the value of N&M
N=3 & M=44N=3M. Find the value of N&M
Dah.... Kama nusu mara moja ni nusu.... Kwanini nusu yake isiwe robo?eti ni kwa nini Nusu Mara nusu jibu lake ni Robo??
Liter moja ya kitu gani? Liter moja ya maji na litre moja ya mafuta ya taa zina uzito/kg tofauti.SWALI HESABU;;;
Hivi lita moja ni sawa na kilo ngapi? na tunaconverte vipi?
Ya majiLiter moja ya kitu gani? Liter moja ya maji na litre moja ya mafuta ya taa zina uzito/kg tofauti.
Hii kumbe ni thread ya zamani sana, na swali tayari lilishajibiwa na wadau, ila litre moja ya maji ni sawa na 1kg.Ya maji
Hii haiitaji ujuzi wa hesabu saana! Unatumia common sense tu! Labda jiulize 1/2 × 1 ni ngapi? Hii inamaanisha nusu ikiwa moja ni ngapi? Jibu ni nusu hiyohiyo. Sasa nusu × nusu ni sawa kusema nusu uigawe kwenye nusu mbili, yaani nusui gawe sehemu mbili zilizo sawa. Hapa utapata robo tuu!eti ni kwa nini Nusu Mara nusu jibu lake ni Robo??
A fluid is any substance in which the molecules are free to flow. This includes both gases and liquids. A liquid is any substance in which molecules are free to flow, and volume is fixed or nearly fixed. Liquids are a subset of fluids.Kwenye physics kuna law of Flotation inayosema "a floating body displaced it's own weight of the FLUID in which float "
Vlevle kuna Archimedes principles inayosema "when a body is totally or partially immersed in a FLUID, It experience an upthrust that is equal to the weight of the FLUID displaced "
Sasa kuna kitu najiuliza hapa, why those scientists Wametumia neno FLUID badala ya LIQUID? wakat neno FLUID na LIQUID ni sawa?