Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Kipimio katika ramani husaidia kujua uwiano wa mita katika ardhi jinsi unavyoonekana katika ramani..

Nimejibu kishule ya msingi...hahaha
 
Suppose inflation is the one among the challenges facing the national economy,explain the impacts of inflation in Tanzania by considering both positive and negative sides
 
HABARI,
NAHITAJI KUWEZA KUFAHAMU KUHUSU CHUO CHA AFYA ST FRANSIS IFAKARA
MWAKA WA MASOMO 2016/2017
KILIZUILIWA KUPOKEA WANAFUNZI WA SHAHADA A.K.A BACHELOR OF MEDICE
JE, MWAKA WAMASOMO 2017/2018
KINARUHUSIWA KUDAHILI WANAFUNZI????.
nawasilisha
 
Hao walimu mbona hatuwaon
 
Habari ya mchana jamanii.
Naomba mnisaidie kujibh swali hili.... Nimekwama

Mention at least three policies in Tanzania which have mainstream gender. (5marks) dah......
 
Habari ya mchana jamanii.
Naomba mnisaidie kujibh swali hili.... Nimekwama

Mention at least three policies in Tanzania which have mainstream gender. (5marks) dah......
Utazuweka kwa kingereza hizi
1. Kumuelimisha mwanamkr ni sawa na kulikomboa taifa zima

2. 50 kwa 50 kijinsia katika kila nyanja ndani ya taifa.

3. Mwanamke akiwezeshwa anaweza.

Hizo ni baadhi tuu

Ongezea na hii,

4. Mfumo dume ni adui wa maendeleo kwa taifa

5. Kuwepo kwa dawati la jinsia kwa kila sekta za umma.
 
naombeni nisaidieni kunielewesha kwa kiswahili na upana kidogo maana ya HABIT OF MAKING EXCUSES
 
Back
Top Bottom