Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Discuss the strategies that can be taken by the government of Tanzania to ensure that individual or companies in the country are not involved, whether directly or indirectly, in bribery, deception or fraud?
 
Tumezoea ukichukua namba yoyote ukai-square au ukaizidisha yenyewe kwa yenyewe unapata jibu lililo kubwa kuliko hizo namba. Lakini ukichukia namba nyingine ukizidisha kwa yenyewe inakuwa ndogo zaidi. Mfano 0.004x0.004=0.000016. Kwanini?
 
TMPDOODLE1483702513274.jpg
Kwa maswali ya Physikia O-Level,

Nitasaidia
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.

Not all volcanic activities are vulcanism & not all all vulcanism are volcanism. Discus their intersected landforms

NB: Unaweza nipa reference book according to your answer
 
Not all volcanic activities are vulcanism & not all all vulcanism are volcanism. Discus their intersected landforms

NB: Unaweza nipa reference book according to your answer

Huhitaji nguvu nhingi kujibu hili swali,
Vulcanism ni process ina include internal processes land forms& external features(volcanic features) thus volcanism can not be vulcanism because it explains only formation of volcanic features on the earth(out) while vulcanism involve all in and out .

There after explain with diagrams internal and external vulcanic features utakuwa umemaliza.
 
Huhitaji nguvu nhingi kujibu hili swali,
Vulcanism ni process ina include internal processes land forms& external features(volcanic features) thus volcanism can nit be vulcanism because it explains formation of vilcanic features in the earth(iut) while vulcanism involve all in and out .

There after explain with diagrams internal and external vulcanic features utakuwa umemaliza.

Asante kwa jibu lako limeniongezea kitu
Naomba reference Kama hutojali sana
 
Huhitaji nguvu nhingi kujibu hili swali,
Vulcanism ni process ina include internal processes land forms& external features(volcanic features) thus volcanism can not be vulcanism because it explains only formation of volcanic features on the earth(out) while vulcanism involve all in and out .

There after explain with diagrams internal and external vulcanic features utakuwa umemaliza.
Nimekuelewa madam
 
Back
Top Bottom