Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Mwalimu wa sanaa nipo hapa
Uliza ewe mwanafunzi form 1 hadi 6 swali lolote History, civics & general studies
 
1.A wire of length 20cm and mass is 1.2g under a tension of 120N. Determine the fundamental requency.
2.A closed pipe has a fundamental frequency of 400 Hz.
Calculate:
(a) The frequency of first harmonic
(b) The frequency of open pipe of the same length.
 
Tupo kwenye UE tutayafanya vumilia kidogo !!lakini sio walimu tu ndo wanajua physics
 
pitia topic ya waves kidato cha tano,hapo hayo maswali utayaona ni maji tu

kwa hapa mtu hawezi kukusaidia siyo kwamba hawawezi au hatuwezi ,ila inakera kuuliza maswali ambayo ni uzembe wako kutojitafutia hata you tube tu.
 
Enzi zangu hutu tuswali twa wave nilikuwa nakimbiza sana.

Unaponiuliza saivi hunitakii mema, ni miaka 8 sasa sijawahi kugusa.

Au unataka tukupe majibu ya uongo, maana huwa hatukubali kushindwa humu.
 
mbona maswali mboga kabisa hayo.... aisee yangenikuta ile kipindi niko form six aya!! umiza kichwa wewe na iyo roger yako... physics wewe aisomwagi hivi kwa kuja kuuliza humu jf
 
1.A wire of length 20cm and mass is 1.2g under a tension of 120N. Determine the fundamental requency.
2.A closed pipe has a fundamental frequency of 400 Hz.
Calculate:
(a) The frequency of first harmonic
(b) The frequency of open pipe of the same length.
unataka majibu au solution?!!

kama solution niPM
 
Aise umenikumbusha mbali sana. Nilisoma hayo maswali 2005-2007 baada ya hapo sijawahi kugusa waves tena kwan field niliyoenda kusomea ya engineering haina hayo madude. Kiufupi tafuta kitabu cha nelcon&Park, utapata majibu hayo. Au walimu wanaweza kukusaidia
 
1.A wire of length 20cm and mass is 1.2g under a tension of 120N. Determine the fundamental requency.
2.A closed pipe has a fundamental frequency of 400 Hz.
Calculate:
(a) The frequency of first harmonic
(b) The frequency of open pipe of the same length.
elegma - Documents
fuata hiyo link, soma utapata mwanga wa nini unapaswa kufanya.... majibu hayatakusaidia... jifunze kwa bidii uipate elimu
 
1.A wire of length 20cm and mass is 1.2g under a tension of 120N. Determine the fundamental requency.
2.A closed pipe has a fundamental frequency of 400 Hz.
Calculate:
(a) The frequency of first harmonic
(b) The frequency of open pipe of the same length.

1. Data
L= 30cm
m =1.3g
T=120N
Requred= f

From
f=1/2l[√(T/m/l)]

But m/l=m÷l
=1.2÷30
=0.004g/cm
Then
Change into kg per m
=0.0004kg/m
√(T/m/l)=547.72l/s
1/2l=1÷2l
=1÷(2×0.3)
=16.7
There fore
fo=(1÷2l)√(T/m/l)
=547.72÷16.7
=32.8Hz

Hilo ndio jibu
Swali la pili dadavua pipe instrument, ukipata utata niambie nikusaidie
Ukumbuke velocity of air is 3×10^8m/s
 
Ukumbuke velocity of sound in air is 3×10^8m/s
 
Back
Top Bottom