Poleni walimu. Ila matatizo haya huwa mnajitakia wenyewe, yaani nyie kila mwaka wa uchaguzi hamkomi kutumiwa katika kampeni halafu mnaachwa huku mkiamini mambo yatabadilika. Tokea 1995, 2000,2005 and 2010, hamchoki tu!
Mko wengi na mna ushawishi katika jamii kama mkitumia nafasi zenu vizuri.
Kumbukeni, mliyempigia kura mara mbili ameshawaambia hayo madai yenu hayawezekani kabisaaaaaa!
Amkeni bana!
walim walshagoma zamanUtaharibu sasa, si tumekubaliana ni mambo ya Voda fasta!
Oh poor teacher. I am sorry too. Lakini miaka miwili na nusu sio mbali, msijisahau.
Heshima yako Mkuu Kashaijabutege. Ila hapo kwenye Bold nahisi kama hujatenda haki, labda kama sio Mama Maria Nyerere ninayemfahamu mimi.Nyie si ndio baadhi yenu ni vinara wa kuisaidia CiCiMizi kuiba kura? Mshahara wa dhambi ni mauti. Mpaka mtakapojua kuwa CiCiMizi anawatumia kutenda dhambi, ndipo Mungu atasikia kilio chenu. Walimu wengi, hasa wa kike, ni wasaliti wa watanzania. Tatizo ni kuwa walimu wengi wa kike wameolewa na wenye nazo (mfano mzuri ni Teacher Salma na Mama Maria Nyerere).
Mbona umetoa maswali(zoezi) wakati umefundisha methali moja tu?
Hadithi nzima niya kuchonga kwa kuangalia uhalisia wa mazingira ya mwalimu na mwanafunzi wawapo shuleni hasa mwalimu anapokuwa anaingia darasani . Japo ukweli ni kwamba walimu hawalipwi vizuri.
Heshima yako Mkuu Kashaijabutege. Ila hapo kwenye Bold nahisi kama hujatenda haki, labda kama sio Mama Maria Nyerere ninayemfahamu mimi.