Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

Ila watoto wa siku hizi na wenyewe pia ni shida tu,pole Mwl check hasa uvaaji wako na matamshi yako.mwili mshukuru mungu tu maana ndivyo ulivyoumbwa usikufuru.
 
Reactions: B40
Ila watoto wa siku hizi na wenyewe pia ni shida tu,pole Mwl check hasa uvaaji wako na matamshi yako.mwili mshukuru mungu tu maana ndivyo ulivyoumbwa usikufuru.
Matamshi Na uvaaji huwezi kunikamata hapo mkuu,sema watoto maadili ni shida toka nyumbani
 
HAO NI WATOTO, HAKUNA UDHALILISHWAJI HAPO. MI NINGEAMBIWA HIVYO NA MTOTO NINGETABASAMU NA MAISHA YANGEENDELEA.
 
Reactions: B40
"Shooga unanionea buure"nimeukumbuka tu huu wimbo!
 
Reactions: B40
Punguza kujipodoa mwalimu,
 
Reactions: B40
Mkuu uwezo wako Wa kufikiri ni mdg sana
Kwa hiyo wewe uwezo wako ni mkubwa ukaamini ni kweli unafanana na huyo dada? Ok poa tu. hata mimi nikikuangalia naona unafanana fanana na shangazi yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…