Mwanafunzi wangu amenidhalilisha

Yaweza kua dada ake anafanana na wewe au wewe unafanana na dada ake kwa maana wewe unaweza ukawa na elements za kike au huyo dada ana elements za kiume...njia rahisi ya kulisolve hili ni wewe kumuita huyo dada yao uonane nae face to face ili ujitathimini.
 
Reactions: B40
punguzeni kuvaa vimodel na nyie chaaa kisuruali kimebana kama cha masista duu kishati nacho mnawachanganya hao watoto
 
Mkuu halafu
Pengine waliposema unafanana na dada yao hawakumaanisha the way ulivyoelewa wewe. Mayb kuna vitu vipo common kati yenu,get to know their sister and u'll get wht they meant.

Cheers.
 
Ushatongozwa Mara ngapi na wanaume wenzako? Kuwa mkweli pliz.
 
Reactions: B40
kwa Picha hivi, watoto hawakukosea.
 
Unapokuwa unaandika ubaoni, nadhani anapata view nzuri inayofanana na dada yake [emoji2]
 
Reactions: B40
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…