Mwanafunzi wa UDSM agongwa na gari Ubungo Riverside, afariki

Hii imetokea usiku huu mida ya saa nne pale kwenye kibao cha mzee wa upako.Mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa 3 ambaye jina lake skulisikia vizuri amefariki baada ya kugongwa na gari akiwa anataka kuvuka barabara akitokea ubungo.Sina info nyingi kwani nimewahi kuondoka baada ya kutandwa na hofu ya kuona maiti.
Dah,,aibu hii,, mwanaume unaogopa maiti?
Ikitokea tumevamiwa na Putin na wanainchi wanahitajika jeshi la akiba kupigania inchi yetu,
mkuu tutakupata kweli?
 
Dah,,aibu hii,, mwanaume unaogopa maiti?
Ikitokea tumevamiwa na Putin na wanainchi wanahitajika jeshi la akiba kupigania inchi yetu,
mkuu tutakupata kweli?
angalia uzi huu ni lini mkuu....nilikuwa mvulana enzi hizo..saiv ndio mwanaume sasa..
 
Back
Top Bottom