Mwanafunzi wa UDSM agongwa na gari Ubungo Riverside, afariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanafunzi wa UDSM agongwa na gari Ubungo Riverside, afariki

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Deejay nasmile, Feb 6, 2012.

 1. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #1
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Hii imetokea usiku huu mida ya saa nne pale kwenye kibao cha mzee wa upako.Mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa 3 ambaye jina lake skulisikia vizuri amefariki baada ya kugongwa na gari akiwa anataka kuvuka barabara akitokea ubungo.Sina info nyingi kwani nimewahi kuondoka baada ya kutandwa na hofu ya kuona maiti.
   
 2. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Wa kike au wa kiume? Sad news!
   
 3. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #3
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,862
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  Mungu wangu ninani huyo?
   
 4. M

  Mhode Member

  #4
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  so sad news, asa tegemeo la taifa kama huyu kijana akitoweka, bt yote kaz ya muuumba, sisi ni wapitaj 2.rest in peace
   
 5. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #5
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,862
  Likes Received: 1,303
  Trophy Points: 280
  Kaka kweli 2wapitaji, naomba utujuze vizußi rafiki kama ni wa kike ama wa kiume na kama ukataja hata jina, yamkini akawa mwenzetu/ama mwenzangu mwaka, manake kuna mwenzangu alikuwa ubungo mida ya saa tatu na nampigia sasa hapatikani.
   
 6. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #6
  Feb 6, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Ni wa kuime mkuu,ila alikuwa na mjomba yake ambaye alikuwa ana shout ""ooh anko wangu jamani ndoto zako za uinjinia ndio zimekata kweli"" so inaelekea ni muinjinia!! so sad kama kuna watu wengine wana taarifa wataleta.mie mwenzenu muoga hata sikuweza kutazama mara mbilimbili nikaondoka huku natetemeka
   
 7. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #7
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 937
  Trophy Points: 280
  ajali tena?
  Sina la kusema, poleni wanafamilia kwa kumpoteza mpendwa.
  Na sisi wana-UDSM tumempoteza mwenzetu.
   
 8. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #8
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  So sad. Wekeni updates ili nione kama namjua mwenzangu jamani.
   
 9. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #9
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mh poleni sana, tungepata jina ingekuwa vizuri...
   
 10. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #10
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Poleni sana..
   
 11. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #11
  Feb 6, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ajali hizi kwa kweli ni janga la kitaifa
  RIP mwenzetu
   
 12. Nyaluhusa87

  Nyaluhusa87 JF-Expert Member

  #12
  Feb 6, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 1,288
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  poleni sana wana UDSM na taifa kwa ujumla.2mepoteza nguvu kazi ya taifa...May his soul rest in peace
   
 13. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #13
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Kama ni kweli chuo si wataweka picha na mtamjua tu?
   
 14. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #14
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Poleni sana wanafamilia, wanachuo na taifa nadhani ni nguzo ambayo ingekuja kuiweka Tz kwenye hali tofauti na sasa. Kina RIP
   
 15. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #15
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  rip marehemu
   
 16. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #16
  Feb 6, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  RIP injinia
   
 17. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #17
  Feb 6, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  aisee inauma sana kumpoteza kijana pasi shaka angekuwa mtu safi sana kwa ujenzi wa taifa nguvu kazi imepotea. mungu ailaze salama roho yake.hiyo sehemu ni mbaya sana magari yanakwenda kasi sana wakati mwingine itafutwe namna kufanya yaende taratibu matuta naona kama bado si msaada kwa eneo hili au yaongezwe zaidi.
   
 18. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #18
  Feb 6, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,135
  Likes Received: 6,630
  Trophy Points: 280
  R.I.P. Msomi wetu.
   
 19. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #19
  Feb 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Taarifa inaacha maswali mengi sana... Sasa umejuaje ni mwanachuo tena wa mwaka wa tatu? Jina hukulishika vzuri what do you mean??
   
 20. MachoMakavu

  MachoMakavu JF-Expert Member

  #20
  Feb 6, 2012
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  really sad news
   
Loading...