Masikini ya Mungu huko nyuma kama aliwahi kumshauri dada atoe ujauzito wake nafikiri atajuta maisha yake yote. Sijui kwanini watu wanaendelea kutumia haya makitu kwani haiishi wiki bila kusikia maafa yatokanayo na midawa hii.get well soon mgonjwa. wa kujifunza na wajifunze.......
Mwanamke akiamua kukuliza anakuliza tuuuu...waliahidiana kukutana...jamaa kaandaaa risasiiiiii..... Binti kaingia mitini...BIG RESULTS (kawa hanisi)
Nadhani vijana wengi wana tatizo la kutokuwa na mbegu/manii ya kutosha...goli moja tu kwishneyyyy.....ndo wanaamua kutumia viagra
sasa kama ni mwanafunzi sijui kama alishakuwa na familiaMasikini ya Mungu huko nyuma kama aliwahi kumshauri dada atoe ujauzito wake nafikiri atajuta maisha yake yote. Sijui kwanini watu wanaendelea kutumia haya makitu kwani haiishi wiki bila kusikia maafa yatokanayo na midawa hii.
Story ya kijiweni tu hii.
Priapism na mishipa ya uzazi wapi na wapi? By the way, mishipa ya uzazi ndio nini?
dah! sina hata cha kuongea
Yani hakupatikana changudoa wa Vila park wa kushusha huo munkari?
Hii story ilivyokaa ina maswali mengi sana ... Mshipa wa uzazi ndo upi..?! Anayetoa ruhusa ya operation ni mkuu wa idara bila hata ya mzazi.. ?!?! etc...
Paragraph ya mwisho ndo haieleweki kabsa!
Nadhania anachomaanisha hapa si mishipa ya uzazi bali ya damu inayosaidia mboo kusimamaStory ya kijiweni tu hii.
Priapism na mishipa ya uzazi wapi na wapi? By the way, mishipa ya uzazi ndio nini?