Mwanafunzi wa IFM akipewa kichapo heavy na polisi

Mwanafunzi wa IFM akipewa kichapo heavy na polisi

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
1,148
Reaction score
2,686
Askari wakimsulubu mwanafunzi mara baada ya kumkamata baada yakugoma kuondoka mbele ya kituo cha.JPG

Hawa jamaa hawakomi tu jamani? Hivi ndivyo wanafundishwa kutuliza ghasia?
 
dah!! kwani hivi hio ndio njia pekee ya kutuliza maandamano au ghasia mtu anapigwa kama mwizi????
 
tuuuuuuuuuuuuu machiiiiiiiiiii
 
POLISI WETU WANAJUA RUSHWA, KICHAPO KWA RAIA NA MABOMU YA MACHIZI KILA KWENYE MKUSANYIKO HAIJALISHI NI WA WATOTO AU WAKUBWA!

Tanzania si ile ya ukweli
 
wakiua utasikia kitu kizito kimetoka kusiko julikana
 
Wakiomba ulinzi wanakataa...lakini kupiga wasio na hatia ndio zao.

Nimekumbuka tukio moja la kuibiwa laptop ofisini maeneo ya Upanga, aliyeiba tukawa tunamhisi kwasababu alikuja ofisini na kutoka fasta.
Tukamkamata tukambinya sawasawa, akasema ameipeleka kuiweka kwa mkuu wa kituo pale Muhimbili, ikabidi twende salender kuchukua askari ili kuja kukamata mwizi ambaye ni askari pia.
Mbaya ni kwamba, yule askari hakupelekwa mahakamani wala hakufukuzwa wala hakuamishwa kituo. yule dogo alisema huwa nikiiba kitu naenda kukiweka kwake kwanza kusikilizia upepo, then polisi anawaita vijana wake wa Kariakoo, wanauza fasta.
 
View attachment 79504

Hizi ni nguvu za ziada ambazo hazikuhitajika!

Jamani siku zote huwa nawaambieni kuwa huko Tanzania, hakuna Serikali, kuna "genge tu".
Serikali makini haiwezi kufumbia macho ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu namna hii.
Uchaguzi ujao chagueni viongozi wenye kujali na kuheshimu haki za raia!
FANYENI MAAMUZI MAGUMU, IKATAENI CCM NA WABABAISHAJI WAKE.
 
asee tz kazi ipo
embu izo silaha zianze kuwa mitumba tukomeshane kwakwel:whistle:
 
Huyo jamaa mwenye kijani naye ni askari kanzu. Kwenye baadhi ya picha ameonekana akiimba na kuna picha zake kwe magazeti akitoa kichapo kwa huyo dent.
Huenda nae ni denti na pia askari.
 
Back
Top Bottom