Mwanafunzi wa IFM akipewa kichapo heavy na polisi

Mwanafunzi wa IFM akipewa kichapo heavy na polisi

still kwa akili zetu finyu tuna sema tanzania ni nchi ya amani!.....
 
cha kusikitisha chini chini wana sema heti wametumwa na chadema
 
Cha kushangaza baadhi ya hawa polisi tunaishi nao uswahilini,ukiamua kumfanyizia unamalizana na familia yake.
 
Mbunge wa Kigamboni Dr. F. Ndugulile aje hapa mara moja atujuze analionaje suala hili na kupigwa kikatili vijana wetu.
 
Daaah Poleni Saana Ila Hii Hali ya Watu Kulawitiwa watu Kila Kukicha Huko Dar Mimi Sijaielewa Mungu Atusaidiye
 
Back
Top Bottom