Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,711
- 8,765
Habari njema hii Kwa wanalumumba naona wanafurahi kweli kweli hapa JF
Kwa hiyo unatakajeKIJANA WA CHADEMA (CHASO UDSM-DUCE) AKAMATWA NA POLISI.
Nimefika Chuo Kishiriki cha DUCE nimekuta rafiki yangu wa CHASO Joshua Mgallah amekamatwa na Polisi hapa DUCE ambapo CCM wanasherehe yao ya kumpongeza Magufuli ndani ya Kumbi za mihadhara ya chuo hiki cha DUCE.
Joshua Mgallah kwa taarifa za awali ametiwa nguvuni kwa kutuhumiwa kupanga njama ya kuvuruga mkutano huo wa CCM wa kumpongeza Magufuli.
Shughuli za kichama zinafanyika ndani ya chuo.... na watu wakiwemo wanafunzi wamevaa nguo za chama.
Kwa by - laws za UDSM (MAIN CAMPUS) haitakiwi hii sijui hapa DUCE.
Mwl RM. Malilo.
UDSM - DUCE
Nyamazza 😱kwahiyo unataka tukusaidie nini ndugu yangu? maana siye wengine si chadema wala ccm,na sikuzote tumekuwa tukiwaombea mabaya. sasa sijui tufanyeje!!!!!!
Wahuni nyie mlioitia hasara nchi 😱Safi acha ashughulikiwe analeta Uhuni.
Ukiwa na Kibali unaruhusiwa Mkuu bila matatizo yoyote.
Acha uongo wewe! Wanazuia kabisa hayo mambo!Ukiwa na Kibali unaruhusiwa Mkuu bila matatizo yoyote.
Inakuuma nini sasa wewe?KIJANA WA CHADEMA (CHASO UDSM-DUCE) AKAMATWA NA POLISI.
Nimefika Chuo Kishiriki cha DUCE nimekuta rafiki yangu wa CHASO Joshua Mgallah amekamatwa na Polisi hapa DUCE ambapo CCM wanasherehe yao ya kumpongeza Magufuli ndani ya Kumbi za mihadhara ya chuo hiki cha DUCE.
Joshua Mgallah kwa taarifa za awali ametiwa nguvuni kwa kutuhumiwa kupanga njama ya kuvuruga mkutano huo wa CCM wa kumpongeza Magufuli.
Shughuli za kichama zinafanyika ndani ya chuo.... na watu wakiwemo wanafunzi wamevaa nguo za chama.
Kwa by - laws za UDSM (MAIN CAMPUS) haitakiwi hii sijui hapa DUCE.
Mwl RM. Malilo.
UDSM - DUCE
Hasa kwani Sheria, nini ni nini??, dhima na maudhui ya kuwepo na sheria ni nini??Una ubongo mdogo kama kalio lako,kuna sheria inayoruhusu mtu kuuawa bila hukumu. Acha utahila.
Wote ni wajinga..Vipi hao wa CCM waliokuwa wakifanya huo mkutano huku wamevalia nguo za CCM sio wanasiasa? au wewe unachojua wanasiasa ni wale wa vyama vya upinzani tu? nafikiri akili zako hazipo sawa ndugu kwa ulichokiandika.
By law ya UDSM hairuhusu mwanafunzi kwa namna yoyote ile kushiriki siasaUkiwa na Kibali unaruhusiwa Mkuu bila matatizo yoyote.
Kumbe unamjua mkuu?We dogo Razack unaandika haya upo hapa Buguruni tena tupo wote hizo za DUCE umepigiwa simu unadai upo DUCE.
Mfuate Bobali akufundishe siasa ukishindwa kabisa rudi tu shule ukafundishe lakin usiende kilwa maana watoto wetu utawajaza uongo uongo na unafiki.
Ramadhan Kareem Mwl Razaq Mtele Malilo
Unapoteza muda bure. Unafikiri hawa vichwa maji watakusikia?Ninavyojua hakuna tatizo kwa Wanachama wa Chama fulani kukutana Chuoni na kujadili au kupongezena wao kwa wao na bahati nzuri hii ipo katika Taasisi nyingi tu za Elimu ya juu na ni jambo linalojulikana na kuruhusiwa pia. Kama leo utashangaa kuwepo kwa Shughuli za Kisiasa ndani ya Vyuo mbona hujiulizi au hushangai humo humo Vyuoni kuna Makundi mbalimbali ya Kidini yanaendesha shughuli zao hata kama unaweza kukuta hiko Chuo ni cha Kikristo au Kiislamu?
Bandiko lako umelileta Kiharakati zaidi na si kwa Kujenga hoja kitu ambacho ni hatari sana katika afya nzima ya Ustawi wa Demokrasia na Uhuru wa Mtu au Makundi fulani nchini. Na Police siyo Wapumbavu hadi wakamkamata huyo Kijana kwani huenda hiyo nia yake ovu ilishaonekana mapema tu na Wazee wa Kazi ambao hata humo humo Vyuoni mnao wengi tu.
Wewe Wanafunzi wa CCM wanasheherekea mambo yao sasa Wewe mwana CHADEMA unawashwawashwa na nini? Kila siku huwa nawaambieni humu kuwa CHADEMA ni chama ambacho mpaka sasa nakiheshimu mno na nikiri tu kwa kusema kuwa uimara wa CCM wa sasa unatokana na umahiri wa wana CHADEMA hasa katika kuyaona yale ambayo ama kwa Makusudi CCM haiyaoni au haiyaoni kweli ila tatizo lenu CHADEMA siku hizi mmekuwa ni Watu wa Visasi, Chuki huku mkitaka kupimana ubavu na walioshika Mpini na hapo ndipo mnakula tu za uso kila uchao.
Kuna uzi niliuandika humu nadhani wiki mbili nyuma nikiwataka CHADEMA kubadili Strategies zao otherwise kuna uwezekano mkubwa sana 2020 Chama chenu kisiwepo kabisa au kikasambaratika kwani Siasa mnazozifanya sasa ni za Kitoto mno. CHADEMA ya 2007 hadi 2014 niliyokuwa naijua Mimi siyo hii CHADEMA ya 2015 hadi sasa 2017. Jitafakarini tafadhali kwani bado hamjachelewa.
Na wewe wakuswende ndani tu over!KIJANA WA CHADEMA (CHASO UDSM-DUCE) AKAMATWA NA POLISI.