Mwanafunzi unayejielewa unaanzaje kupata supplementary?

Utawajua yaani kutopata sup unajiona kipanga hahaha
Umewah kuwa TO ? ufaul wa chuo huo wa kupeana au unazungmzia upi
Kufaul facult za arts unajiona kipanga hahaha kapige medicine kama utaleta upupu huku kijana
 
Kuna kaukweli kidogo ila wakati mwingine mambo yanakua tight unaponea C

Mimi hadi namaliza chuo sina supp ila kuna wakati mambo yalikua yananitinga naponea C

Kuna kitu Immunology ya Prof. Mwambete ,,,niliponea chupuchupu

Pharmacokinetics ya Dr Maganda nusura anishike

Etc
 
Huyu jamaa hajawahi kushuhudia mpaka best student anakula supp, kuna ajali kazini
 
Naona wasongo mnakomoana. Ila Supu ni muhimu kwa afya, ikizidi inaleta presha.

Kila la heri wanavyuo Mungu awafanikishie itaji lenu, maisha ya chuo magumu sana hasa ukikutana na lecturer aliyesoma kwa shida shida kama mimi, huwa hatupendi dharau
 
Kuna kaukweli kidogo ila wakati mwingine mambo yanakua tight unaponea C

Mimi hadi namaliza chuo sina supp ila kuna wakati mambo yalikua yananitinga naponea C

Kuna kitu Immunology ya Prof. Mwambete ,,,niliponea chupuchupu

Pharmacokinetics ya Dr Maganda nusura anishike

Etc
Tena immunology ulipigwa kionjo yan medical students bn et physiology,anatomy ndo nn
 
Mimi Class kwetu n CR was Sup, unasemaje sasa
watu mnatambiana supp! ndugu zangu ubora wa elimu ni uhalisia wake kwenye maisha ya kila siku, kuanguka kupo lakini lazima tuelewe shule ni mahali pa kujfunza na si kukariri, huna supp good unayo well kesho unayo chansi simama na endelea kutembea.......
 
Sometimes umaskini unasababishwa na poverty thinking tulizokuwa nazo.

Ushauri.
Wana JF-anything is possible, is all about you.

N third year sasa Sup haijawah patkana na ni BSc.Civil Engineering.

Chuo fanya kilichokupeleka.
Daima utafanikiwa.

Wqnafunzi inabid waache ushamba wanapoingia chuo.

Taifa linawategemea...Amen
 
Back
Top Bottom