Mnama umekumbwa na nini?Rasmi sasa ni Dr😅 walimaliza mwezi Mey now nimesapua nimepita sasa rasmi ni Dr achana na hao ma Dr manyau nyau 🤣🤣
Wakunga na manesi msikate tamaa kila kitu kinawezekana tena kwa nchi zinajitambua nikugusa tu😁😁
Acha leo nilewa tu😅😅😅😅😅🍻🍻🍻😊🍻
Umehitu nini? Maana nyumbani ulipotoka ulisema unakwenda kusomea udakatari.Mimi sio Dokta ila nimehitimu pia
Animal Science and Production .Umehitu nini? Maana nyumbani ulipotoka ulisema unakwenda kusomea udakatari.
Hongera sana mkuu. Kutoboa chuo watu wanadhani ni rahisi, lakini ni ngumu mno!Animal Science and Production .
Nyumbani wengi walijua naenda chuo tu hawakufuatilia kozi
Tujuzane bwashee! Kitengo cha mabusha au magonjwa mtambuka.Rasmi sasa ni Dr😅 walimaliza mwezi Mey now nimesapua nimepita sasa rasmi ni Dr achana na hao ma Dr manyau nyau 🤣🤣
Wakunga na manesi msikate tamaa kila kitu kinawezekana tena kwa nchi zinajitambua nikugusa tu😁😁
Acha leo nilewa tu😅😅😅😅😅🍻🍻🍻😊🍻
Asante sana , kwa hakika haikuwa rahisi , nahisi nimetua mzigo mzito sana AlhamdulillahHongera sana mkuu. Kutoboa chuo watu wanadhani ni rahisi, lakini ni ngumu mno!
Kabisa!Asante sana , kwa hakika haikuwa rahisi , nahisi nimetua mzigo mzito sana Alhamdulillah