Meku ndio kwanzaa leo jumatatu😂😂Rasmi sasa ni Dr😅 walimaliza mwezi Mey now nimesapua nimepita sasa rasmi ni Dr achana na hao ma Dr manyau nyau 🤣🤣
Wakunga na manesi msikate tamaa kila kitu kinawezekana tena kwa nchi zinajitambua nikugusa tu😁😁
Acha leo nilewa tu😅😅😅😅😅🍻🍻🍻😊🍻
Mandee😂Jumatatu ni lini bwashee 😅
Hii si nyumbu ya Mongolia bwashee 😅Frustrating...
View attachment 3689307
Kula shayirii kwa heshimaa😂🍺Mimi ni mwanafunzi bwashee 😅
Hongera sana bwashee angalia tu usije kwenda kutibu wagonjwa ukiwa umepiga ulabu mwingi badala ya kumwambia mgonjwa ana kaswende ukamuambia ana ukimwiRasmi sasa ni Dr😅 walimaliza mwezi Mey now nimesapua nimepita sasa rasmi ni Dr achana na hao ma Dr manyau nyau 🤣🤣
Wakunga na manesi msikate tamaa kila kitu kinawezekana tena kwa nchi zinajitambua nikugusa tu😁😁
Acha leo nilewa tu😅😅😅😅😅🍻🍻🍻😊🍻
Shayiri 🔥🔥🔥Kula shayirii kwa heshimaa😂🍺
Hahaha bwashee nimekua mkunga kwa miaka mingi nikilew ndio nafany kazi yangu vizuri🤣Hongera sana bwashee angalia tu usije kwenda kutibu wagonjwa ukiwa umepiga ulabu mwingi badala ya kumwambia mgonjwa ana kaswende ukamuambia ana ukimwi
Eboo 😄😄Hahaha bwashee nimekua mkunga kwa miaka mingi nikilew ndio nafany kazi yangu vizuri🤣
Kwa heshima na taadhima🍺🍺Sh
Shayiri 🔥🔥🔥
Ndio yenyewe , full kikosi ndio hiki Ghayos Mongolia Mabange GangHii si nyumbu ya Mongolia bwashee 😅
TBL inabidi wafanye mpango upewe ubalozi maana unawakilisha vyema sana 😄😄Heshimu pombe bwashee 🤣🤣