Mwanafunzi leo nimehitimu

Mwanafunzi leo nimehitimu

Rasmi sasa ni Dr๐Ÿ˜… walimaliza mwezi Mey now nimesapua nimepita sasa rasmi ni Dr achana na hao ma Dr manyau nyau ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Wakunga na manesi msikate tamaa kila kitu kinawezekana tena kwa nchi zinajitambua nikugusa tu๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Acha leo nilewa tu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿป๐Ÿ˜Š๐Ÿป
Huku TAMISEMI basic ni 1.5 M
 
Hongera Sana mkuu from registered nurse to doctor....nishauri mkuu hivi Ile diploma yangu ya ustawi wa jamii Toka nimehitimu 2010 sijawahi hata kuiombea kazi naweza kuiongezea Na Nini ili niendelee kuwasumbua wakurungwa, Kwa Sasa Nina degree ya Ile kozi yetu ya afya..
 
Back
Top Bottom