Babumawe
JF-Expert Member
- Sep 12, 2014
- 2,556
- 2,559
Mtoto wa Kike wa miaka 17 aliyefanya vizuri zaidi kwenye Mitihani ya Elimu ya Secondary Nchini Nigeria kwa kupata alama A1 katika masomo yote kutoka Shule yake ya West African Seniour School amefariki dunia katika mazingira ya kustaajabisha.
Mtoto huyo aitwaye Chisom Chukwueneke mwenye miaka 17 alipokea zawadi nyingi baada ya kufanya vizuri kwenye mitihani yake ya secondary ijulikanayo kama (WEAC) na kwa mujibu wa baba Wa mtoto huyo anasema Chisom alianza kwa kuumwa maumivu ya mguu ambapo baadae yalikuja kuwa tatizo kubwa ambalo ndilo lililokuja kuchukua uhai wake.
Mungu ailaze Roho yake mahala pema, Amen.