Ninachojua Mimi. Mkiingia fomu wani mnapewa orientation ya kutumia maabara na shule nyingine Hadi orientation ya kutumia vyoo vya ku flush.Taratibu za maabara yoyote ni lazima upewe maelekezo na uyafuate, je Mwalimu alitoa/hakutoa maelekezo kabla hajagawa hiyo chemical
Kwani mwanafunzi wa kidato cha 4 hajui maelekezo ya maabara ambayo huanza kufundishwa tangu kidato cha kwanza?Taratibu za maabara yoyote ni lazima upewe maelekezo na uyafuate, je Mwalimu alitoa/hakutoa maelekezo kabla hajagawa hiyo chemical
Mtu mpaka anasoma chemia hajui sheria za maabara mpaka akumbushwe kila akiingia kufanya peactical?Taratibu za maabara yoyote ni lazima upewe maelekezo na uyafuate, je Mwalimu alitoa/hakutoa maelekezo kabla hajagawa hiyo chemical
Yaah ndo maana nasema Hawa ambao Ilijulikana Walikunywa methanol yani watapona Vizuri tu faster sana maana watafanya treatment ya kuondoa Methanol..!! Yani fasterl tu... Ila hawa walitibu matokeo ya tatizo na damage ya methanol iko slow but its really sana.Wanashindwa kuelewa kuwa historia ya mgonjwa ni 'muhimu' sana. Na huwezi tu kuhisi kuwa kanywa sumu bila kupewa ushirikiano.
Na inapotokea hali kama hiyo unatakiwa kumtibu mgonjwa kutokana na dalili anazozionyesha huku ukiendelea kumchunguza hali yake.
Hata baada ya kupewa taarifa walifanya upesi kuwahamisha hospital ya rufaa.
Mwalimu hawezi laumiwa hata Kidogooo.. Mabara zetu sumu sio Methanol tu...!! Sasa kama mtu haelewi kuwa huruusiwi kula ndani ya maabara ana jambo lake...!!Mtu mpaka anasoma chemia hajui sheria za maabara mpaka akumbushwe kila akiingia kufanya peactical?
Hao ni wajinga tu mwl asilaumiwe.
Kabisa.Mwalimu hawezi laumiwa hata Kidogooo.. Mabara zetu sumu sio Methanol tu...!! Sasa kama mtu haelewi kuwa huruusiwi kula ndani ya maabara ana jambo lake...!!
Changamotoo sanaa..!!Kabisa.
Sema kuna watu wao kila kitu wanataka walaumu tu.
Point yake ni kwamba kwa nini hawakuwapa rufaa kwa nini waendelee kutibu ugonjwa usoonekana na nadhan kama wangekuwa makini bas wangewahoji vzur wangewambia mapemaUlitaka waone Ugonjwaa gani????? Unadhani kuwa na dalili za ugonjwa inatoshaa kufanya vipimo vioneshe una ugonjwaa.. Kilochotokea itakuwa walitreat symptoms za ugonjwa lakini Methanol ni sumu inayoharibu macho...maini na figo yani slow slow tu lakini mwisho wa siku yanakukuta hayoo...
Wanashindwa kuelewa kuwa historia ya mgonjwa ni 'muhimu' sana. Na huwezi tu kuhisi kuwa kanywa sumu bila kupewa ushirikiano.
Na inapotokea hali kama hiyo unatakiwa kumtibu mgonjwa kutokana na dalili anazozionyesha huku ukiendelea kumchunguza hali yake.
Hata baada ya kupewa taarifa walifanya upesi kuwahamisha hospital ya rufaa.
Ina maana ukiwa unawasimamia ndio hugeuki au huendi hata chooni upo tu bize kuangalia nani atakunywa au kuonja kitu umzuie?Ndo matatizo ya kuruhusu viroba haya, hadi watoto wadogo wanaweza kununua...jambo la kujiuliza hao wanafunzi wanafanya practicals bila mtu wa kuwasimamia, mwalimu au technician!
Vipi, kamsokoto kanaruhusiwa!?, Nauliza tuDon't eat or drink anything in the laboratory
Sio lazma taarifa za vifo zitolewe na Kamanda wa mkoa... Vifo vingine vinatokea sababu ya kitabibu na sio matukio ya jinai