Chanzo hakjajulkanya but nitakuja na more updates
=========================
Wamehakikisha huo mwandiko ni wake? Isije ikawa watu wamemtundika.
Amejitetea kuwa yeye ni
Twende taratibu mkuu.
R.I.P Mwanachuo.
Yeye ni msafisha majengo,mabweni,maofisi tu. Kufuta ujinga haikuwa katika ratiba yake.hapana mimi ni mfanya usabi(usafi) wa hapa
Unatoa taarifa km kwenye gazeti la udaku jina si lenyewe na wala mwaka si wenyewe tafuta taarifa vizuri avha kukurupuka ili mradi na ww tukuoneni mwanafunzi wa mwaka wa tatu sheria, marehemu alikua mtu wa watu sana, jina lake ni Samsoni Njerekela.
ameacha ujumbe "asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu''
Nyambafuuu... Tangu lini mwanaume akajinyonga? Mungu amweke popote patakapomfaa!
Huyo kweli kachukua maamuzi magumu.Whaaaat!!! Nyie wanachuo hivyo ndivyo kutekeleza ushauri wa Mhe. Lowassa aliposema 'Watanzania tuache kulalamika..tuchukue maamuzi magumu'.!!!!
Hivi ni maamuzi magumu au maamuzi ya kijinga?Huyo kweli kachukua maamuzi magumu.
Nyambafuuu... Tangu lini mwanaume akajinyonga? Mungu amweke popote patakapomfaa!
ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu sheria, marehemu alikua mtu wa watu sana, jina lake ni Samsoni Njerekela.
ameacha ujumbe "asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu''
Unatoa taarifa km kwenye gazeti la udaku jina si lenyewe na wala mwaka si wenyewe tafuta taarifa vizuri avha kukurupuka ili mradi na ww tukuone
Yepi hayo mkuu....? Kwasababu mpaka sasa tunasikia speculation za kifo cha marehemu, hakuna anayejua marehemu ameji-RIP kwa ajili gani...
Amejitetea kuwa yeye ni
Yeye ni msafisha majengo,mabweni,maofisi tu. Kufuta ujinga haikuwa katika ratiba yake.
Majuto mperungu, asante kwa taarifa.
RIP Marehemu Hayawani!
Ndiyo maana yake mkuu,watu wanaojiua mimi huwa wananikera sana!Duuuuuh!!!!
jinsia qan na nn chanzo, basi fanya kusakasaka updates utuzuje mkuu...