Shangaa hapo..kama alitaka kuzikwa kwao alishindwa nini kupanda basi mpaka bush kwao akajinyongea huko?? kwa nini asumbue watu??...ana bahati sio ndugu yangu,,,hapa angelazwa kinondoni tu....Hii ndo shida ya watu wengi! Mtu unajitoa uhai, kisha una command watu wakuzike unapotaka marehemu hii ni haki kweli?
Hii story unaweza kukuta ina ukweli hawa wanafunzi wa siku hizi huwa wana vibiashara na mikopo kila mahali, sasa kama walimchapa tuhela twake anakojisomeshe aliona uamuzi ni huo REST IN PEACE NJELEKELA kwani MUNGU aliona juhudi zako za kupigana ili uuondoe Umaskinidogo alikuwa mjasiriamali mzuri tu, sasa mateja wakamtaim kule mjini akiwa na kifuko cha pesa alikuwa kaenda kuchukua mzigo. wakampulizia madawa wakakomba kila kitu....jamaa akawa frustrated sana, akaamua kunywa sumu ya panya lakini wenzake wakamuwahi. baada ya kutoka hospitali, kabla hata hajapata ushauri, ndo akaamua kujimaliza!
Wee uko chuo kikuu??
Wee uko chuo kikuu??
Shangaa hapo..kama alitaka kuzikwa kwao alishindwa nini kupanda basi mpaka bush kwao akajinyongea huko?? kwa nini asumbue watu??...ana bahati sio ndugu yangu,,,hapa angelazwa kinondoni tu....
chanzo?
dogo alikuwa mjasiriamali mzuri tu, sasa mateja wakamtaim kule mjini akiwa na kifuko cha pesa alikuwa kaenda kuchukua mzigo. wakampulizia madawa wakakomba kila kitu....jamaa akawa frustrated sana, akaamua kunywa sumu ya panya lakini wenzake wakamuwahi. baada ya kutoka hospitali, kabla hata hajapata ushauri, ndo akaamua kujimaliza!
Hakunaga R.I.P ya kujinyonga
Ee M.Mungu nakushukuru kwa kunipa courage kuhandle matatizo ya namna hii.
cha msingi hapa ni kutafuta tu sababu ya yeye kujinyonga ili tulio hai tuelimishane ili tusipitie njia aliyopitia marehemu,tusipende sana kuhukumu au kulazimisha uongo uwe kweli,tuache uvivu na tutafute nini chanzo cha vijana wengi kujinyonga? kesho inaweza kuwa zamu yako bila kujijua