Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

Mwanafuni UDSM ajinyonga leo asubuhi

majuto mperungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
394
Reaction score
120
Chanzo hakjajulkanya but nitakuja na more updates

=========================

ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu sheria, marehemu alikua mtu wa watu sana, jina lake ni Samsoni Njerekela.
ameacha ujumbe "asisumbuliwe mtu yeyote kwani nimefanya hivi kwa maamuzi yangu mwenyewe pia nizikwe kwetu''
 
jinsia qan na nn chanzo, basi fanya kusakasaka updates utuzuje mkuu...
 
Ni mwanafunzi wa mwaka wa pili
kitivo cha sheria sababu ya kujinyonga bado haijajulikana
 
Nchi hii wasomi ni taaabu kweli kweli hata vioja vya pwagu siku zile haikuwa hivi ....wasomi wetu unaanzisha kiwanda hata hujui umeme na material yatapatikana wapi.....
 
Mkuu mbona unaandika huku unatetemeka? Mara kidato cha pili, mara MWANAFUNI, mara hakijajulikanya sijui unachanganya na kilugha chenu humo?

Hebu tulia utueleweshe basi!! R.I.P marehemu!!
 
Back
Top Bottom