ya universeUnadhani unavuta pumzi ya nani????
there is no such things yuor liedRest in hell.
Ukishakula..mavi yakajaa tumboni basi unajiona mwamba na unadhani umetokea kwa Bahati mbayaOxygen
Huyu jamaa aliishi kwa maajabu ya Mwenyezi Mungu wakati alipoanza kuugua akiwa na umri wa miaka 20 madaktari walimwambia hataweza kuishi zaidi ya miaka 2 zaidi lakini jamaa kaishi miaka 56 zaidi
RIP Stephen Hawking
Wewe unayeamini kwamba kuna kichaa anaishi mbinguni anauwa maskini kwa ebola na kipindupindu hauna Mavi tumboni?Ukishakula..mavi yakajaa tumboni basi unajiona mwamba na unadhani umetokea kwa Bahati mbaya
Huyo unayemdhani kichaa na wewe nani ni kichaa!?..una akili timamu ya kupambana na mazingira yako iweje ufe kwa kipindupindu ilhali unajua unakipataje?..kwa nini ufe kwa ebola wakati unajua kinapatikana kwenye nyama ya nyani?..ukifa njaa kwa kugoma kula utamlaumu aliyeko mbinguni au we mwenyewe?Wewe unayeamini kwamba kuna kichaa anaishi mbinguni anauwa maskini kwa ebola na kipindupindu hauna Mavi tumboni?
Well, perfect. Why do we need a god then, its stupid, ni ujuha wa hali ya juu. Why do you need to be enslaved in prayers when you should be working?!Huyo unayemdhani kichaa na wewe nani ni kichaa!?..una akili timamu ya kupambana na mazingira yako iweje ufe kwa kipindupindu ilhali unajua unakipataje?..kwa nini ufe kwa ebola wakati unajua kinapatikana kwenye nyama ya nyani?..ukifa njaa kwa kugoma kula utamlaumu aliyeko mbinguni au we mwenyewe?
Hahahaha, wabongo haiwezi kupita mada bila kuingiza uchawi!Huyo hakuwa mwanasayansi alikuwa mchawi tena aliyekubuhu
Binaadam ni kiumbe msahaulifu,prayers zipo kwa ajili ya kumuweka katika msitari,saa 24 ni nyingi sana,prayers haziwezi kumaliza,hata kama utatumia saa 1 for prayers..bdo kuna 24 hrs za working..Well, perfect. Why do we need a god then, its stupid, ni ujuha wa hali ya juu. Why do you need to be enslaved in prayers when you should be working?!
Binaadam ni kiumbe msahaulifu,prayers zipo kwa ajili ya kumuweka katika msitari,saa 24 ni nyingi sana,prayers haziwezi kumaliza,hata kama utatumia saa 1 for prayers..bdo kuna 24 hrs za working..
Hata msiba wa mwanae uchungu huisha siku tatu tu..ya saba yupo chumbani na hawara au anashangilia mpira..prayer zinamuweka karibu na mungu ili asipite pembeni ya msitarimsahaulifu wa nini? kumaliza nini?
Prayer kumweka "karibu" na Mungu.....halafu huyo mungu amfaidishe nini? Kama mtu anajitafutia chakula, malazi, afya njema, mahitaji mengine ya msingi.....what do you need a god for? Hebu nishawishi na mimi nianze kwenda kanisani mkuu!Hata msiba wa mwanae uchungu huisha siku tatu tu..ya saba yupo chumbani na hawara au anashangilia mpira..prayer zinamuweka karibu na mungu ili asipite pembeni ya msitari