Mwanafamilia mwenzenu anaumwa

Mwanafamilia mwenzenu anaumwa

asakuta usihukumu kitu usichojua, nakwazika kwa maana sio tabia yangu na daktari amethibitisha kua having unsafe sex is one of the cause but they are others, so please dont live by hear saying clues.

samahani sana mkuu.......

ila hiyo maambukizo yake hufanyika kwa njia ya damu tu kama ilivyo HIV mkuu.
 
Habari za muda huu wanajf?

napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane.
Nimemiss michango yenu na pia kuona post zinazotujenga vijana, hapa nina drip lakini nimemwambia mke wangu pc yangu ni muhimu ili leo nione notifications zilizonifikia.Otherwise najisikia vizuri kiasi ukizingatia na siku nimekuja.
Pole sana ndugu.
Tutakuombea kwa Mungu akunyanyue uendelee na majukumu yako kama kawaida.
 
samahani sana mkuu.......

ila hiyo maambukizo yake hufanyika kwa njia ya damu tu kama ilivyo HIV mkuu.

ni kweli asakuta maambukizi hutokana na damu mimi nlikua nawaambia wanaohisi kua ni mpaka ngono ndo maana nkawa nawapa muongozo
 
Habari za muda huu wanaJF?

napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane.

Nimemiss michango yenu na pia kuona post zinazotujenga vijana, hapa nina drip lakini nimemwambia mke wangu pc yangu ni muhimu ili leo nione notifications zilizonifikia.

Otherwise najisikia vizuri kiasi ukizingatia na siku nimekuja.

Hii post kuna watu wame-like, sina nia ovu, naomba ufafanuzi, ni kipi walicho-like?
 
Habari za muda huu wanaJF?

napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane.

Nimemiss michango yenu na pia kuona post zinazotujenga vijana, hapa nina drip lakini nimemwambia mke wangu pc yangu ni muhimu ili leo nione notifications zilizonifikia.

Otherwise najisikia vizuri kiasi ukizingatia na siku nimekuja.

mkuu pole sana, japo nimegundua una ujasili wa hali ya juu sana maana ulivyowasilisha kwanza nilicheka(sikushangaa watu kulike), ugonjwa ulio nao ni mkubwa ni njia panda ya kifo na uhai hiyo, Mungu akuponye.
 
Back
Top Bottom