Mwanafamilia mwenzenu anaumwa

Mwanafamilia mwenzenu anaumwa

Aiseeee1 pole kiongozi! pona haraka urudi jamvini sisi leo hatuondoki hadi tukuone mkuu.
 
Aiseeee1 pole kiongozi! pona haraka urudi jamvini sisi leo hatuondoki hadi tukuone mkuu.

nipo mkupuo ila ndo drip kando yangu... kesho nkiamka salama nitaeleza ujinga wa serikali hii juu ya swala la afya ya mtanzania maana kama ngeenda mwananyamala nauhakika leo ingekua nimebakiza mjane.
 
Pole sana,ila mkeo nae apimwe,na kama ulishawahi kuchepuka hao pia wapimwe!Maana njia kubwa ya transmission ya huu ugonjwa ni Sexual intercourse
 
Habari za muda huu wanajf?

napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane.

Nimemiss michango yenu na pia kuona post zinazotujenga vijana, hapa nina drip lakini nimemwambia mke wangu pc yangu ni muhimu ili leo nione notifications zilizonifikia.Otherwise najisikia vizuri kiasi ukizingatia na siku nimekuja.

"Moyo wako umwadhimishe bwana na roho yako imfurahie Mungu mwokozi wako kwa kuwa ameutazama unyonge wako"
 
Pole sana,ila mkeo nae apimwe,na kama ulishawahi kuchepuka hao pia wapimwe!Maana njia kubwa ya transmission ya huu ugonjwa ni Sexual intercourse

mchepuko kwangu hapana, wifi yako nimetoka nae mbali sana na sijawahi waza kuchepuka na Mungu anisaidie
 
mchepuko kwangu hapana, wifi yako nimetoka nae mbali sana na sijawahi waza kuchepuka na Mungu anisaidie

Kuwa mkweli tuu wa Nafsi yako...Hii homa inaambikizwa kwa kufanya ngono zembe..

Kama vipi labda mkeo anamichepuko...
 
Back
Top Bottom