Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Kuumwa aumwe yeye kupimwa apimwe mkewe..
unaambukiza kama ukimwi.
Kuumwa aumwe yeye kupimwa apimwe mkewe..
Kuwa mkweli tuu wa Nafsi yako...Hii homa inaambikizwa kwa kufanya ngono zembe..
Kama vipi labda mkeo anamichepuko...
tumefundishwa kusamehe maana humu kila mtu anauhuru wa mawazo dada angu kwahyo nasoma halafu naomba Mungu adhihirike juu yao wanaohisi ngono ndo kisababishiPoleee sana.
Ugua pole.
Hivi nyie mnaosema mambo ya mchepuko hamjisikii aibu jamani kumzidishia mtu oresha.
asanteni, yani walihisi na dengue jamani
Kuwa mkweli tuu wa Nafsi yako...Hii homa inaambikizwa kwa kufanya ngono zembe..
Kama vipi labda mkeo anamichepuko...
Pole sana Mungu akuponye,mkeo lazima apime.Nafikiri ma DR watakuwa wamekuambiamchepuko kwangu hapana, wifi yako nimetoka nae mbali sana na sijawahi waza kuchepuka na Mungu anisaidie
pole sana mkuu.....
ukichepuka uwe unatumia condom kuepusha maambukizi.
Kuumwa aumwe yeye kupimwa apimwe mkewe..
Tuliouliza tunajua kwa nini na mkewe apimwe.
bahati mbaya naumwa sitapata muda wa kumtafuta nimpe salamu zako ndugu lakini ntajitahidi
Pole sana kwa kuumwa na Maradhi ya Hepatiti B ambayo haina Dawa Ma-Hospitalini ukitaka Dawa ya kutibu Maradhi ya Hepatiti B nitafute kwa wakati wako bonyeza hapa.MawasilianoHabari za muda huu wanajf?
napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane.
Nimemiss michango yenu na pia kuona post zinazotujenga vijana, hapa nina drip lakini nimemwambia mke wangu pc yangu ni muhimu ili leo nione notifications zilizonifikia.Otherwise najisikia vizuri kiasi ukizingatia na siku nimekuja.
Bibie salama lakini MamndenyiMziziMkavu njoo huku tunatoana mimacho sasa hivi.
MziziMkavu njoo huku tunatoana mimacho sasa hivi.