Mwanafamilia mwenzenu anaumwa

Mwanafamilia mwenzenu anaumwa

pole sana & get well soon.
NB: kuna chanjo yake just incase
 
Pole sana mkuu, ila Mkeo akiona hii post mwambie ani-pm!
 
Habari za muda huu wanajf?

napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane.

Nimemiss michango yenu na pia kuona post zinazotujenga vijana, hapa nina drip lakini nimemwambia mke wangu pc yangu ni muhimu ili leo nione notifications zilizonifikia.Otherwise najisikia vizuri kiasi ukizingatia na siku nimekuja.

pole sana mkuu,usimsahau Mungu katika yote
 
Habari za muda huu wanajf?

napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane.

Nimemiss michango yenu na pia kuona post zinazotujenga vijana, hapa nina drip lakini nimemwambia mke wangu pc yangu ni muhimu ili leo nione notifications zilizonifikia.Otherwise najisikia vizuri kiasi ukizingatia na siku nimekuja.

Pole mkuu! MUNGU akutie nguvu katika kupigana na hilo gonjwa! Natumaini haijafikia kwenye hali ya kuwa Chronic Hepatitis B? Hakikisha pia shemeji yetu wanamcheck mapema ili angalau apewe chanjo mapema!! Mungu akurudishie afya yako mapema iwezekanavyo ili urudi kulijenga hili taifa la majizi!
 
Dah, pole sana mkuu! Muamini yeye aliye juu utapona kabisa ndani ya siku chache zijazo! Ila mkuu huwa unashinda jukwaa gani hapa JF au la kule chiniiiiiiiiii, make ID yako ngeni kabisa kwangu, au umetumia ile nyingine?

kaka sina jukwaa maalum maana wote ndugu zangu
 
Pole mkuu! MUNGU akutie nguvu katika kupigana na hilo gonjwa! Natumaini haijafikia kwenye hali ya kuwa Chronic Hepatitis B? Hakikisha pia shemeji yetu wanamcheck mapema ili angalau apewe chanjo mapema!! Mungu akurudishie afya yako mapema iwezekanavyo ili urudi kulijenga hili taifa la majizi!
nashukuru job.. mke wangu anaonekana safe lakin wamesema apime after 10days
 
pole sana mkuu tunakuombea uzima na afya tele urudi kujenga hoja hapa.,
 
Back
Top Bottom