Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,602
- 22,707
Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva
Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na kuipelemba serikali.
Nimecheka sana, kamaindi kishenzi akaishia kusema maneno ya mkosaji ''No problem, moja ya sababu zilizofanya sisi tukutane hapa, ni kwamba ninyi mmetuunga mkono, na mnavyotaka ndivyo tunavyotaka sisi''
Raia mtaani zimechoka, hazitaki ujinga