miaka 30 bongo fleva

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 bongo flavour, Dj ana kisa na Irene Uwoya na wenzie?

    Walipopanda jukwaani Irene Uwoya, Kajala, Aunt Ezekiel na Jaqline Wolper waliwekewa ule wimbo 'nakupenda bibi kizee nakupenda kikongwe'...kweli baada ya pale nawaona hawa kama wakongwe wenzangu. Kweli wamekula chumvi na sio wadogo kama wanavyotudanganya bali wanasaidiwa na filters na makeups
  2. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania TBT: Hayati Magufuli alipiga Simu kwenye Tamasha la muziki Lakini hakuzomewa. Awamu ya sita kuna sehemu wamekwama vibaya mno

    Guys Guys Guys Kufa kwa Nyani miti yote huteleza huku ynapigwa nyundo za ecowas hujakaa vizuri unazomewa na watanzania ŵaliokuchagua kwa 98%. Lakini tukumbuke back then tukio kama hilihili lilifanyika lakini Magufuli hakuzomewa pamoja na uvumu wake na aliweza kupiga simu kuongea na Mashabiki...
  3. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Miaka 30 ya Bongo Fleva: Kuzomewa kwa wasanii waliotaka kuisifia Serikali kunatuma ujumbe gani kwa awamu ya sita?

    Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva liliyofanyika usiku wa kuamkia Julai 11 yalikuwa ya shangwe, burudani na kumbukumbu za safari ya muziki huo. Hata hivyo, tukio lililovuta hisia za wengi halikuwa muziki pekee, bali mwitikio wa watazamaji kwa baadhi ya wasanii waliojaribu kuzungumzia siasa...
  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

    Wananchi wakataa mapambio ya MwanaFa kwenye miaka 30 ya Bongo Fleva Katika hali isiyo ya kawaida, Naibu waziri wa Michezo, Sanaa...., Mwinjuma Hamis maarufu kama mwanaFa amezomewa na kukataliwa na wananchi waliohudhuria tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva, pale alipotaka kuanza kusifia na...
Back
Top Bottom