Mwanae hanitaki kabisa, nifanyeje?

Haaaaaaa ana miaka 34 v/s 51 huyo tayari yuko monoposye aiseeee loooh huichubui kwelimaana no ute ute tena hapa
 
Daaaah!! kumbe watu wa namna yako bado mpo??
21st century Kujana 34 unahamia kwa bibi 51? huyo kijana anakuheshimu sanaa, lucky u

Sijui unatafuta ushauri wa nini maana ingekua mimi kabla ujahamia nimekuhisi tuu "Ningekufumua buti"
 
''Isitoshe mimi ini mkubwa kwake 34 kwa 21 ni tofauti kubwa sana ya umri, mimi sio age mate wake, mnaobeza tofauti hiyo mnanishangaza sana''
Wewe sio age mate wa huyo kijana kwa tofauti kubwa ya age, je mbona age ya huyo mwanamke 51 vs 34 ya kwako mbona ni tofauti kubwa?
 
yaani nlivyoona mrejesho nkajua kijana ameshakutafutia watu wakukutatulia marinda!!!!!!!!!!!! nimekuja kasi mara nakutana na none sense yaani kijana 34yrs unasema wanaume wenzio wakusapot kwenye huo u.p.um.bavu wako? asa utaolewa hadi lini na huyo mama yako
 
Nikiwa kama mwenyekiti wa wanamume marijali hapa TANZANIA......na kupitia vikao mbali mbali HALALI vya CHAMA CHA marijali tunakuvua uanaume wako na kuishikiria kwa muda leseni yako ya URIJALI kwa muda usiojulikana kwa kuvunja na kukiuka kwa makusudi kabisa misingi na kanuni za URIJALI NA UANAMUME......AMBAO NI KUJITEGEMEA NA KULA KWA JASHO LAKO MWENYEWE.......HIVYO BASI CHAMA KIMEAMUA KUISHIKIRIA LESENI YAKO YA URIJALI HADI KITAKAPO JIRIDHISHA KUWA UMEURUDIA UANAUME NA KUUVAA URIJALI.....KWA KUHAMA HAPO KWA HUYO MAMA YAKO NA KUMUACHA HUYO MAMA AMLEE MWANAE BAADA YA KUKULEA WEWE.......

NAWASILISHA KWA NIABA YA MARIJALI WOTE NCHINI....
 
hiyo ni sunna hata mtume mohamad saw alikuwa na mke aliyempita umri pakubwa tu
 

aione Evelyn Salt
 
Last edited by a moderator:

Heb jarb kufanya kujiongeza tuu...ingekuwa wwndo yule kijana MTT wa huyoo mama na dogo ndo aka ply position uliyonayoo how would you feel and how you gonna react@
 
Mkuu pole kwa kubezwa, hii ndiyo JF...........
  • Je huyo mpenzi wako, akiwa mbele za watu and ndugu does she claim you openly? Maana kama mapenzi yenu ni yakuficha ficha that could be one reason inayompa huyo mtoto ujasiri na kiburi cha kuwaingilia.
  • Kama mko serious then fungeni ndoa maybe as that should help clear any doubt that you are really there to stay! So sooner or later the boy has to deal with that fact
  • Alternatively mwambie mama yake aitishe kikao, kati yako, yeye, mtoto, na ndugu wa familia anaehishimiwa ampe stict options either akuheshimu or else he risks losing her support, na isitoshe itabidi aende kuishi na baba yake ama shule period.
 
Mkuu wasikuchoshe, we jilie vyako kadri uwezavyo. Maana si haramu.
 
Duuh kweli wewe ni mwanaume toleo la mwisho.unaongea wewe lakin mimi huku nasikia aibu.Kaka hata kama huyo mama anataka kukutoa kimaisha anaweza kukutoa tu ukiwa mbali na hapo nyumbani. sio laazma wewe ung'ang'anie hapo nyumbani kwa hyo kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…