Sipati picha! Na watu ambao hawajui ni kuwa hapa ni Swala la Mama kufanya hivyo mbele ya mwanae wa kiume hakika maumivu ni tofauti kabisa na mtu mwingine
Huna cha kufanya kweli unaingia kwa room na kulala huku mamako tena mzazi anakanyagwa na dogo next door? Hebu kuweni na hisia za kibinadamu basi !
Ukichukulia hasira ambayo obvious kila mwanaume atakuwa hivyo, mtaishia kugawana majengo ya serikali.
Yeye ataenda hospital au mortuary kabisa afu wewe gerezani.
Which one is better here?
Kwenye hili suala jinsia ME ni wakali sbb wanaona maza anakuwa overused at that age na wanahisi si bure ukizingatia mleta Uzi ni herbalist.
Jinsia KE wao ni wakali sbb wanamuona jamaa ni opportunist zaidi lkn issue ya kumgegeda mother kwao isn't a big deal
Kumbe hujui sababu? Natamani nikufahamu zaidi kwani hii siyo kawaida kwa mwanamume. Wewe huoni kwamba mtu kumzini mama yako mbele yako ni jambo baya na halivumiliki kwa namna yoyote ile?
Nisingejali hata kama mwisho wa siku ningenyongwa. Afterall mwanamume kuna vitu vikimtokea kifo kinakuwa jambo la kawaida tu.
Mbele yako kivipi? Au unamaanisha kuishi nyumba moja?
Kimsingi sikubaliani wala simuungi mkono jamaa kwa namna yoyote ile lakini nahisi na ni kweli kabisa kuwa Mama ndo mwenye makosa.
Tukubali au tukatae lkn mama ndo mwenye makosa.
Asha baraka anabonge la jumba la ghorofa kinondoni,alivopata serengeti boy wake kawaacha familia yake humo kaenda kupanga mwananyamala anajilia zake mgegedo huko...sa na ww mwambie huyo mama mkapange mbali...ingawa bado sikuungi mkono kwa kuolewa na mama mwenye umli kiasi hicho
Kosa la mtoa mada ni nini hapo? Nani alisema kuwa umri fulani anatakiwa aroll na wa umri huu, mbona wanafiki nyie watu?
Kama unajisikia vibaya, unafungasha wewe mtoto. Kaanzishe maisha yako. Umri wa miaka 21 unatosha kabisa kuanza kujitegemea. Mama kajitafutia mwenyewe mali zake halafu uanze kumuwekea masharti ya kutumia!!! Hivi huyo mama haruhusiwi kupenda kabisa?? Akipenda basi lazima watoto wake wamchagulie? Tusiangalie upande mmoja, hata huyo mama hatendewi haki na mwanae. Dogo akizidi kusumbua saana na kama mama atamuonea huruma, ampangie sehem.We ambae sio mnafiki mama ako akileta serengeti boy ndani nyumbani kwenu muishi wote ni sawa kwako?
Kama unajisikia vibaya, unafungasha wewe mtoto. Kaanzishe maisha yako. Umri wa miaka 21 unatosha kabisa kuanza kujitegemea. Mama kajitafutia mwenyewe mali zake halafu uanze kumuwekea masharti ya kutumia!!! Hivi huyo mama haruhusiwi kupenda kabisa?? Akipenda basi lazima watoto wake wamchagulie? Tusiangalie upande mmoja, hata huyo mama hatendewi haki na mwanae. Dogo akizidi kusumbua saana na kama mama atamuonea huruma, ampangie sehem.
Kwa hy mamako mzazi mwenye miaka 54 kukanyagwa na kashkaji tena hom kwenu unaona poa tu
Ahsante broda. Mama anakunwa anakunika, chakuwashiani? Labda kama na wewe unamtaka mamayo, Mola aepushie mbali!Kama unajisikia vibaya, unafungasha wewe mtoto. Kaanzishe maisha yako. Umri wa miaka 21 unatosha kabisa kuanza kujitegemea. Mama kajitafutia mwenyewe mali zake halafu uanze kumuwekea masharti ya kutumia!!! Hivi huyo mama haruhusiwi kupenda kabisa?? Akipenda basi lazima watoto wake wamchagulie? Tusiangalie upande mmoja, hata huyo mama hatendewi haki na mwanae. Dogo akizidi kusumbua saana na kama mama atamuonea huruma, ampangie sehem.
Kwa sisi tunaojua thamani ya utu hatuwezi kumaindi, mama si anafikishwa bwana? Wivu kwa mashemeji, wakwe, ni kawaida... Ila kama mtu mzima inabidi ujifunze kutomaindi.
Labda nikuulize, wewe mama yako angekanyagwa na nani tofauti na babako ungefurahi na vifijo na nderemo?
We ambae sio mnafiki mama ako akileta serengeti boy ndani nyumbani kwenu muishi wote ni sawa kwako?
Akanyagwe na yeyote lakini sio serengeti ambaye tunasalimiana "mambo!" Na hata akimkanyaga nisimjue,na nikimjua asije home na nisitambulishwe kabsaa
Inaweza isiwe sawa, lakini nitavumilia ama nitahama, siwezi kuleta noma anapopona mama angu...